TCU Guide book ya 2018- 2019Hivi mtu aliyesoma PCB A-Level
anaweza piga BCs agricultural engineering SUA???
Hivi mtu aliyesoma PCB A-Level
anaweza piga BCs agricultural engineering SUA???
Kwa maelezo yaliyopo hapo juu kwenye kipande cha guide book kilichoambatanishwa, utagundua kwamba jibu la swali lako ni HAPANA. Wanataka principals mbili ambapo moja kati ya hizo mbili inatakiwa iwe ni ya HESABU (MATHEMATICS) na hiyo ya pili iwe kati ya Fizikia au Kemia au Jiografia. Wewe kama mtu wa tahasusi ya PCB hauna Mathematics.TCU Guide book ya 2018- 2019
Inaeleza hapa View attachment 824560
ukaguzi wa vyeti awamu ya pili ukianza huyo hana chakeHaya mambo sometime hayaeleweki we omba kwanza, kuna jamaa nilimaliza nae ye Alisoma CBG ila amemaliza hiyo course AGRICULTURAL ENGINEERING hapo hapo SUA
ukaguzi wa vyeti awamu ya pili ukianza huyo hana chake
Unapenda kusoma Engineering?Kwahiyo PCB sua anaweza soma faculty gani??
Mkuu shida sio kwenda shida ni kwamba mim ni PCB, watu wanasema coz za engineering ni za pcmPCB unaangaika nini wakati kuna course nzuri tu udsm ambazo unaweza soma na ukapata ajira yako faster
Udsm yenyewe kuna agriculture engineering japo haija settle saana jaribu na uko kama unataka kuwa engineer
Ahaaa, vip kuhusu bioprocessing and post harvesting engineering??Kuna course za Engineering mtu Wa PCB unaweza kusoma kama Food bioprocessing engineering inatolewa UD hii, Molecular and Genetic engineering na Environmental Engineering.
Hiyo Agricultural Engineering ni kama Civil/Structural engineering wewe mtu wa PCB utaumbuka tu
Omba Environmental Engineering,EE inatolewa pale Ardhi University hii kozi nzuri sana watu wa PCM, PGM, PCB wanaweza soma hii CourseYaaaap mkuu
Hii entry qualifications na soko lake sifahamu vizuri kwakweli. Kwaushauri tu bora food bio processing engineering au Environmental engineering.Ahaaa, vip kuhusu bioprocessing and post harvesting engineering??
Kuna course za Engineering mtu Wa PCB unaweza kusoma kama Food bioprocessing engineering inatolewa UD hii, Molecular and Genetic engineering na Environmental Engineering.
Hiyo Agricultural Engineering ni kama Civil/Structural engineering wewe mtu wa PCB utaumbuka tu
Hiyo food engineering inahusika na Nin??Umemshauri vyema mkuu, hio Agricultural engineering wanahitaji watu waliosoma Advanced Maths afu kozi zao nyingi ni za civil na mechanical eng. Hio ya food nadhani jina lake sahihi ni "Food science and Technology" kwa PCB anachukuliwa.