Agricultural engineering

Agricultural engineering

Shadow120

Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
30
Reaction score
12
Hivi mtu aliyesoma PCB A-Level
anaweza piga BCs agricultural engineering SUA???
 
TCU Guide book ya 2018- 2019
Inaeleza hapa
20180801_194215.jpeg
 
Hivi mtu aliyesoma PCB A-Level
anaweza piga BCs agricultural engineering SUA???
TCU Guide book ya 2018- 2019
Inaeleza hapa View attachment 824560
Kwa maelezo yaliyopo hapo juu kwenye kipande cha guide book kilichoambatanishwa, utagundua kwamba jibu la swali lako ni HAPANA. Wanataka principals mbili ambapo moja kati ya hizo mbili inatakiwa iwe ni ya HESABU (MATHEMATICS) na hiyo ya pili iwe kati ya Fizikia au Kemia au Jiografia. Wewe kama mtu wa tahasusi ya PCB hauna Mathematics.
NB:Tunapozungumzia hesabu hapa tunakua tuko serious kwaiyo sitarajii uje na hoja ya B.A.M kama eti ndio Hesabu, tafadhali.
 
Haya mambo sometime hayaeleweki we omba kwanza, kuna jamaa nilimaliza nae ye Alisoma CBG ila amemaliza hiyo course AGRICULTURAL ENGINEERING hapo hapo SUA
 
PCB unaangaika nini wakati kuna course nzuri tu udsm ambazo unaweza soma na ukapata ajira yako faster

Udsm yenyewe kuna agriculture engineering japo haija settle saana jaribu na uko kama unataka kuwa engineer
 
Mkuu shida sio kwenda shida ni kwamba mim ni PCB, watu wanasema coz za engineering ni za pcm
 
Kuna course za Engineering mtu Wa PCB unaweza kusoma kama Food bioprocessing engineering inatolewa UD hii, Molecular and Genetic engineering na Environmental Engineering.

Hiyo Agricultural Engineering ni kama Civil/Structural engineering wewe mtu wa PCB utaumbuka tu
 
Ahaaa, vip kuhusu bioprocessing and post harvesting engineering??
 
Yaaaap mkuu
Omba Environmental Engineering,EE inatolewa pale Ardhi University hii kozi nzuri sana watu wa PCM, PGM, PCB wanaweza soma hii Course
Pia kuna Municipal & Industrial Services Engineering, MISE ipo department moja na hiyo Environmental Engineering hali kadhalika watu wa PCM, PGM na PCB wanaweza soma hii....
 
Ahaaa, vip kuhusu bioprocessing and post harvesting engineering??
Hii entry qualifications na soko lake sifahamu vizuri kwakweli. Kwaushauri tu bora food bio processing engineering au Environmental engineering.

Environmental engineering inatolewa Ardhi na UDOM

Hiyo ya food bio processing inatolewa COET UDSM
 
Kuna course za Engineering mtu Wa PCB unaweza kusoma kama Food bioprocessing engineering inatolewa UD hii, Molecular and Genetic engineering na Environmental Engineering.

Hiyo Agricultural Engineering ni kama Civil/Structural engineering wewe mtu wa PCB utaumbuka tu

Umemshauri vyema mkuu, hio Agricultural engineering wanahitaji watu waliosoma Advanced Maths afu kozi zao nyingi ni za civil na mechanical eng. Hio ya food nadhani jina lake sahihi ni "Food science and Technology" kwa PCB anachukuliwa.
 
Hiyo food engineering inahusika na Nin??
 
Back
Top Bottom