ThnkingAloud
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 546
- 564
Chokaa yoyote ni majivu ya jiwe lililochomwa kwenye moto, hivyo nijuavyo Mimi chokaa yoyote inafaa kwenye kilimo,ila itumike kwa kiasi kisichozidi gram 10 kwa kila shimoWasiliana na Kampuni ya Dodoma Cement, wanatengeneza chokaa mazao.
Bado unahiitaji tunauza tunapatikana mafinga na bei yake ni nafuu kwa kila mkulimaChokaa ya kilimo tunaihitaji na sisi yupo aliyeipata?
Ulishaipata chokaa mazao?kama bado unaweza ipata tunauza tupo mafingaWanabodi,
Natafuta agricultural lime au kwa Kiswahili Chokaa mazao. Nitaipata wapi. Niko Dar es Salaam.
Ndio bado tunaihitaji sana sana tupe bei, weka picha hapa na mawasiliano ya kibiashara.Bado unahiitaji tunauza tunapatikana mafinga na bei yake ni nafuu kwa kila mkulima
Bei ni 10,500 mfuko wa Kg50Ndio bado tunaihitaji sana sana tupe bei, weka picha hapa na mawasiliano ya kibiashara.
Bei ni 10,500 mfuko wa kg50Ndio bado tunaihitaji sana sana tupe bei, weka picha hapa na mawasiliano ya kibiashara.
Bei ni 10,500 mfuko wa kg50
Namba ya biashara 0677766250
Mkuu nlikuwa maeneo y songea na mbinga juz Kat wakulima wanalalamila kuhusu Bei kupanda ad kufka laki na 80 kwa mfuko wa 50kg kumbe Kuna Mambo mazur iko huku? Nnamashamb songea udongo bla bolea hutoboi vp hii inaeza kutumika km mbadala wa hz hbr z CANBei ni 10,500 mfuko wa kg50
Namba ya biashara 0677766250
Hapa nlkuwa nawaza nifanye mpango wa pumba za mpunga niwe na sabanza shambnMkuu nlikuwa maeneo y songea na mbinga juz Kat wakulima wanalalamila kuhusu Bei kupanda ad kufka laki na 80 kwa mfuko wa 50kg kumbe Kuna Mambo mazur iko huku? Nnamashamb songea udongo bla bolea hutoboi vp hii inaeza kutumika km mbadala wa hz hbr z CAN
Duuuh!! Kumbe kuna nisiyoyajua kabisa, haya hebu tupatie elimu kidogo pengine wakulima sisi twaweza agiza. Wengine tunajua mbolea na madawa hii kitu ipo kundi gani na inatumika vipia??
Hiyo sio mbolea ila inasaidia kuamsha amsha udongo uliochokaMkuu nlikuwa maeneo y songea na mbinga juz Kat wakulima wanalalamila kuhusu Bei kupanda ad kufka laki na 80 kwa mfuko wa 50kg kumbe Kuna Mambo mazur iko huku? Nnamashamb songea udongo bla bolea hutoboi vp hii inaeza kutumika km mbadala wa hz hbr z CAN
Hapa nlkuwa nawaza nifanye mpango wa pumba za mpunga niwe na sabanza shambn