Agricultural lime - Chokaa mazao

Agricultural lime - Chokaa mazao

Uliipata hii chokaa. Nami naihitaji
 
Wasiliana na Kampuni ya Dodoma Cement, wanatengeneza chokaa mazao.
Chokaa yoyote ni majivu ya jiwe lililochomwa kwenye moto, hivyo nijuavyo Mimi chokaa yoyote inafaa kwenye kilimo,ila itumike kwa kiasi kisichozidi gram 10 kwa kila shimo
 
Unataka kusema kuna acidic soil eneo ulipo au mvua ni nyingi na ardhi imekuwa loevu "water logged" au bogs.
 
Inaboresha udongo na inaongezq uzalishaji wa mazao.shambani na inatumika kwenye mazao na matunda kama unahiitaji bado nambie tupo mafinga
 
Ndio bado tunaihitaji sana sana tupe bei, weka picha hapa na mawasiliano ya kibiashara.
Bei ni 10,500 mfuko wa Kg50
Namba ya biashara 0677766250

20220405_145932_mfnr.jpg
 
Bei ni 10,500 mfuko wa kg50
Namba ya biashara 0677766250

Duuuh!! Kumbe kuna nisiyoyajua kabisa, haya hebu tupatie elimu kidogo pengine wakulima sisi twaweza agiza. Wengine tunajua mbolea na madawa hii kitu ipo kundi gani na inatumika vipia??
 
Bei ni 10,500 mfuko wa kg50
Namba ya biashara 0677766250
Mkuu nlikuwa maeneo y songea na mbinga juz Kat wakulima wanalalamila kuhusu Bei kupanda ad kufka laki na 80 kwa mfuko wa 50kg kumbe Kuna Mambo mazur iko huku? Nnamashamb songea udongo bla bolea hutoboi vp hii inaeza kutumika km mbadala wa hz hbr z CAN
 
Hapa nlkuwa nawaza nifanye mpango wa pumba za mpunga niwe na sabanza shambn
 
Mkuu nlikuwa maeneo y songea na mbinga juz Kat wakulima wanalalamila kuhusu Bei kupanda ad kufka laki na 80 kwa mfuko wa 50kg kumbe Kuna Mambo mazur iko huku? Nnamashamb songea udongo bla bolea hutoboi vp hii inaeza kutumika km mbadala wa hz hbr z CAN
Hiyo sio mbolea ila inasaidia kuamsha amsha udongo uliochoka
 
Hii inaitwa chokaa mazao inatumika kurutubisha udongo na kuongeza uzalishaji.
-mashamba mengi yameathiriwa na tindikali(acidic) inapelekea kutumia gharama nyingi kuhudumia shamba lakin mavuno machache.
-inatumika unavoandaa shamba au unavolima shamba lako kwaajili ya kupanda
-ukitumia chokaa lazma utumie mbolea zingine kama kawaida ila matokeo yake ni kwamba ukishatumia chokaa na ukija kuweka mbolea kama kawaida,mbolea inafanya kazi kwa asilimia kubwa kwenye mmea wako na mwisho unapata mavuno ya kutosha
-inatumika kwenye mazao ya aina yote kasoro mpunga
-inatumika pia kwenye matunda ya aina yote na matokeo yake ni muda mfupi
Kwa maelezo zaidi nimetoa namba ya biashara hapo unaweza kutupigia na tukakuelekeza zaidi
 
Back
Top Bottom