Neyka matata
Member
- Mar 19, 2022
- 14
- 3
Ni kweli hii inasaidia kuboresha udongo na kuongeza uzalishaji sio MBOLEAHiyo sio mbolea ila inasaidia kuamsha amsha udongo uliochoka
Mbunge wa kyela anatumia kwenye mpunga pia. Sijui kama hii hii chokaa au ipo nyingine?. Ila naamini anafanikiwa sana. Kilimo chake nafikiri cha kumwagiliaHii inaitwa chokaa mazao inatumika kurutubisha udongo na kuongeza uzalishaji.
-mashamba mengi yameathiriwa na tindikali(acidic) inapelekea kutumia gharama nyingi kuhudumia shamba lakin mavuno machache.
-inatumika unavoandaa shamba au unavolima shamba lako kwaajili ya kupanda
-ukitumia chokaa lazma utumie mbolea zingine kama kawaida ila matokeo yake ni kwamba ukishatumia chokaa na ukija kuweka mbolea kama kawaida,mbolea inafanya kazi kwa asilimia kubwa kwenye mmea wako na mwisho unapata mavuno ya kutosha
-inatumika kwenye mazao ya aina yote kasoro mpunga
-inatumika pia kwenye matunda ya aina yote na matokeo yake ni muda mfupi
Kwa maelezo zaidi nimetoa namba ya biashara hapo unaweza kutupigia na tukakuelekeza zaidi
Wabunge wanawekeza ktk kilimo cc tupo tunazunguka mijin tunajihc wajanja! Mungu atusamehe bure vjanaMbunge wa kyela anatumia kwenye mpunga pia. Sijui kama hii hii chokaa au ipo nyingine?. Ila naamini anafanikiwa sana. Kilimo chake nafikiri cha kumwagilia
Kilimo ni biashara kubwa. Ndio maana wengi hapa wanaokuja kupata ushauri wa jinsi ya kutumia pesa walizopata. Sehemu nzuri ya kuwekeza ni kilimoWabunge wanawekeza ktk kilimo cc tupo tunazunguka mijin tunajihc wajanja! Mungu atusamehe bure vjana
Mbunge anakopa mpaka mabilioni huko dhamana anapewa na bunge sisi hohehahe tuwekeze nini wakati hatukopeshekiWabunge wanawekeza ktk kilimo cc tupo tunazunguka mijin tunajihc wajanja! Mungu atusamehe bure vjana
[emoji23][emoji23][emoji23],Sio kwamba hatupendi Mkuu,Bali mitaji ni tatizo.Wabunge wanawekeza ktk kilimo cc tupo tunazunguka mijin tunajihc wajanja! Mungu atusamehe bure vjana
Mbunge wa kyela anatumia kwenye mpunga pia. Sijui kama hii hii chokaa au ipo nyingine?. Ila naamini anafanikiwa sana. Kilimo chake nafikiri cha kumwagilia
,Sio kwamba hatupendi Mkuu,Bali mitaji ni tatizosi
Unaanza kidogo kidogo mwisho wa siku unatoboa[emoji23][emoji23][emoji23],Sio kwamba hatupendi Mkuu,Bali mitaji ni tatizo.
Sawa Mkuu, ngoja nijaribu.Unaanza kidogo kidogo mwisho wa siku unatoboa
Sawa,na karibu ukianza kujaribuSawa Mkuu, ngoja nijaribu.
Mmmh...! Kama nakushtukia hivi. Wewe umesema kasoro usiweke kwenye mpunga. Lakini sasa unasema ipoIpo ya kwenye mpunga pia kama unahitaji inapatikana
Pamoja sana MkuuSawa,na karibu ukianza kujaribu
Unaanza kidogo kidogo mwisho wa siku unatoboa
Boss bado unatafuta chokaa mazao mm nazalisha nipo tanga amboni tunazalisha chokaa bora kabisa ya mazao unaweza nitafuta tuwasiliane 0788608530 ukipiga uliza kisakaWanabodi,
Natafuta agricultural lime au kwa Kiswahili Chokaa mazao. Nitaipata wapi. Niko Dar es Salaam.
Habari boss bado unatafuta chokaa mazao au ulipata mm nazalisha nipo tanga amboniWanabodi,
Natafuta agricultural lime au kwa Kiswahili Chokaa mazao. Nitaipata wapi. Niko Dar es Salaam.
Ile ya kilimo uwa aichomwi mkuu, ukitaka kuona balaa ichukue ile ya maduka ya ujenzi uweke kwenye shambaChokaa yoyote ni majivu ya jiwe lililochomwa kwenye moto, hivyo nijuavyo Mimi chokaa yoyote inafaa kwenye kilimo,ila itumike kwa kiasi kisichozidi gram 10 kwa kila shimo