Agricultural lime - Chokaa mazao

Agricultural lime - Chokaa mazao

Hauna haja ya kutumia pumba za mpunga tena
Hii kwenye mashamba unatumia mifuko 10 kwa hekali 1 ila ni lazma utumie mbolea za chumvichumvi kama.kawaida na matokeo yake ni ndani ya msimu huohuo
Namba ya biashara ni 0677766250 kwa maelekezo zaidi
 
Hii inaitwa chokaa mazao inatumika kurutubisha udongo na kuongeza uzalishaji.
-mashamba mengi yameathiriwa na tindikali(acidic) inapelekea kutumia gharama nyingi kuhudumia shamba lakin mavuno machache.
-inatumika unavoandaa shamba au unavolima shamba lako kwaajili ya kupanda
-ukitumia chokaa lazma utumie mbolea zingine kama kawaida ila matokeo yake ni kwamba ukishatumia chokaa na ukija kuweka mbolea kama kawaida,mbolea inafanya kazi kwa asilimia kubwa kwenye mmea wako na mwisho unapata mavuno ya kutosha
-inatumika kwenye mazao ya aina yote kasoro mpunga
-inatumika pia kwenye matunda ya aina yote na matokeo yake ni muda mfupi
Kwa maelezo zaidi nimetoa namba ya biashara hapo unaweza kutupigia na tukakuelekeza zaidi
Mbunge wa kyela anatumia kwenye mpunga pia. Sijui kama hii hii chokaa au ipo nyingine?. Ila naamini anafanikiwa sana. Kilimo chake nafikiri cha kumwagilia
 
Mbunge wa kyela anatumia kwenye mpunga pia. Sijui kama hii hii chokaa au ipo nyingine?. Ila naamini anafanikiwa sana. Kilimo chake nafikiri cha kumwagilia
Wabunge wanawekeza ktk kilimo cc tupo tunazunguka mijin tunajihc wajanja! Mungu atusamehe bure vjana
 
Wabunge wanawekeza ktk kilimo cc tupo tunazunguka mijin tunajihc wajanja! Mungu atusamehe bure vjana
Kilimo ni biashara kubwa. Ndio maana wengi hapa wanaokuja kupata ushauri wa jinsi ya kutumia pesa walizopata. Sehemu nzuri ya kuwekeza ni kilimo
 
Wabunge wanawekeza ktk kilimo cc tupo tunazunguka mijin tunajihc wajanja! Mungu atusamehe bure vjana
Mbunge anakopa mpaka mabilioni huko dhamana anapewa na bunge sisi hohehahe tuwekeze nini wakati hatukopesheki
 
Ipo ya kwenye mpunga pia kama unahitaji inapatikana
Mbunge wa kyela anatumia kwenye mpunga pia. Sijui kama hii hii chokaa au ipo nyingine?. Ila naamini anafanikiwa sana. Kilimo chake nafikiri cha kumwagilia
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
,Sio kwamba hatupendi Mkuu,Bali mitaji ni tatizosi

[emoji23][emoji23][emoji23],Sio kwamba hatupendi Mkuu,Bali mitaji ni tatizo.
Unaanza kidogo kidogo mwisho wa siku unatoboa
 
Ukihitaji ya kwenye mpunga, tunakuagizia kiwandani dodoma cement moja kwa moja ila kwa hapa tunayo ya mazao mengine ndo maana nimekwambia ukihitaji inapatikana pia.
 
Wanabodi,

Natafuta agricultural lime au kwa Kiswahili Chokaa mazao. Nitaipata wapi. Niko Dar es Salaam.
Boss bado unatafuta chokaa mazao mm nazalisha nipo tanga amboni tunazalisha chokaa bora kabisa ya mazao unaweza nitafuta tuwasiliane 0788608530 ukipiga uliza kisaka
 
Attachments

  • VID-20240501-WA0002.mp4
    1.7 MB
Kwa wale wanaohitaji chokaa mazao wanitafute kwa namba hii
 
Attachments

  • VID-20240501-WA0002.mp4
    1.7 MB
Chokaa yoyote ni majivu ya jiwe lililochomwa kwenye moto, hivyo nijuavyo Mimi chokaa yoyote inafaa kwenye kilimo,ila itumike kwa kiasi kisichozidi gram 10 kwa kila shimo
Ile ya kilimo uwa aichomwi mkuu, ukitaka kuona balaa ichukue ile ya maduka ya ujenzi uweke kwenye shamba
 
Back
Top Bottom