Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,419
- 6,484
Naona baada ya kuposti hii video ukafunga mjadala kabisaaHahahaha, pamoja na Maelezo yote wanayotoa hapo kupnyesha kwamba Kenya mumeshindwa kuzalisha chakula cha kujitosheleza Bado unatosha?, Kenya is many decades behind Tanzania katika Kilimo cha chakula, Kenya itaendelea kutegemea chakula toka Tanzania kwa miaka mingi ijayo kama ambavyo rais wenu amethibitisha, get out from your ego and accept the reality
Sent using Jamii Forums mobile app
This Akili Timamu guy is a Tanzanian who likes to associate himself with Kenya and would grab the opportunity to change his citizenship to Kenya with both hands. You know someone is a liar when they can't even write the name of their purported "village" correctly. How do you mess up with the name of your ancestral home and expect people to believe you? Huyu ni mnyamwezi kutoka MbeyaIts thindigua my friend...not thedegua....good to see you making some mulla..thats the advantage of living in a free society...progress is ones choice....but your brothers and sisters back in Tz are chocking and suffocating under CCM yoke of primitive policies..instead of cheer leading them while living the good life in kenya...advice them accordingly....isn't it my friend Mkikuyu Akili-Timamu???
Thīndīgua in Gīkūyū..Pronounced as 'Thendegua' and written as so for the benefit of non Nyūmba ya Mūmbi people...Any questions?This Akili Timamu guy is a Tanzanian who likes to associate himself with Kenya and would grab the opportunity to change his citizenship to Kenya with both hands. You know someone is a liar when they can't even write the name of their purported "village" correctly. How do you mess up with the name of your ancestral home and expect people to believe you? Huyu ni mnyamwezi kutoka Mbeya
He is a fool like maguThis Akili Timamu guy is a Tanzanian who likes to associate himself with Kenya and would grab the opportunity to change his citizenship to Kenya with both hands. You know someone is a liar when they can't even write the name of their purported "village" correctly. How do you mess up with the name of your ancestral home and expect people to believe you? Huyu ni mnyamwezi kutoka Mbeya
Ujamaa mindBoss there is No (Zero) foreign Capital Going to Tz Cash crop and horticulture Agriculture, Even in fresh produce such as green beans, avocados etc..Whether Tz will allow colonial white settlers back to their land in exchange for FDI is debatable. There are many more ways of increasing investment in cash crops without surrendering your land to Colonialists, it may take time but it will happen eventually
Ndoto za alinacha,aliharibu JK na sera ya kilimo.kwanza iende parallel na foreign investor Ili peasants wajifunze kwa wakulima wakubwa na wapate soko lakini mwendazake kazika kilimoWhy can't the Tz government help tz farmers mechanize their agriculture,am sure this can lift millions of tanzanians out of poverty since majority of tanzanians depend on agriculture,subsistence farming with crude equipments will forever trap people to poverty.
Watanzania wamelishwa propaganda hadi basi, they always say GDP ya Kenya ni ya kwenye makaratasi, but when facts, with undeniable evidence ikiwekwa between the two countries wana aibika, u will read vijisababu na argument uchwara. Truth and facts ndio dawa ya Watanzania, they are in total oblivion.Precisely. This FDI is lame excuse - actually an attempt to attribute kenya agri sucess to whites - and that subliminal message from the usual kenyan-hater.
So bad. Hapa ni mtu binafsi achangamke, la sivyo poverty itaendelea kukandamiza watanzania, as they are hoodwinked by propaganda ya flyovers n SGR ya umeme with no substantial economic returns😂😂Ndoto za alinacha,aliharibu JK na sera ya kilimo.kwanza iende parallel na foreign investor Ili peasants wajifunze kwa wakulima wakubwa na wapate soko lakini mwendazake kazika kilimo
We jamaa kweli mwanga na wivu wako huoSo bad. Hapa ni mtu binafsi achangamke, la sivyo poverty itaendelea kukandamiza watanzania, as they are hoodwinked by propaganda ya flyovers n SGR ya umeme with no substantial economic returns😂😂
Unajua kwa nini wawangaji huwa wanakufa maskini?Mashashola naona umechapwa ban hapo juu ukaamua isiwe tabu 🤣🤣🤣 Moderator unganisheni hizi ids na choice variable
Kilimoo cha Tanzania kinaweza kuwa na tija ndogo lakini Mwananchi mdogo anafaidi jasho lake. Sheria ya umiliki ardhi Tz ambapo ardhi yote ni mali ya taifa na rais ndiye mdhamini ndiyo siri ya utulivu na umoja wa watanzania. Hatuna haja ya wawekezaji katika ardhi, halafu tugeuzwe manamba kwenye nchi yetu, never on earth. Kenya kazaneni muwe manamba kwenye nchi yenu na familia ya Kenyatta inamiliki nusu ya ardhi central province. Kwa hilo hatuwaonei wivu. Mzee Mugabe aliona , akanyang'anya wazungu mashamba. Kwani watu hawaishi zimbabwe. Large scale agriculture ni illusion ya uzalishaji mkubwa lakini kwenye individual level ni majanga na utapiamlo usoisha .Unajua kwa nini wawangaji huwa wanakufa maskini?
The modern facility to be installed at Mbezi Luis in Dar es Salaam is projected to play a vital role in expanding and modernising the country's capacity in professional food storage.Senior Researcher at TAEC, Simon Mdoe said.
ananas mall. Thanks for visiting our Town mkikuyu.I hope you bought some pineapples mkikuyuView attachment 1042648View attachment 1042648
Yani wakenya kabisaa wanajitambaa eti wao wanazalisha chakula kingi kutuzidi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23] mtaniua jamani, wametuzidi chai tuu ila wanavyoringaa
Shida hao Ngedere pombe wanapenda sana sifa,Nimesoma hapo kwenye mazao ambayo Kenya surpassed Tanzania nikaona mangoes, beans, watermelons, wheat ikabidi tu nicheke, Kenya mpaka mwisho wa dunia unafika haitakaa ipite Tanzania kwenye hayo mazao wala mazao mengine.