Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama hakuna raisi pale ukisikia PAPETI ndiyo raisi tuliye naye,sijui tuwaambie hadi lini muelewe ,siku hizi hata mapato ya mwezi kwa mwezi awasemi uchumi umebomoka vibaya baada ya magufuli kufariki habari ya chini ya kapeti zinasema serikali ya mama sasa ni kutegemea mikopo na kudanganya watu kuwa mambo yapo sawa
MY TAKE
Inakaa kuna kitu hakijakaa sawa wizara ya Kilimo, wiki iliyopita Bashe alikuwa analalamika kuhusu tozo la dengu Shinyanga leo Waziri analalamika! Inakaa middle men wamerudi na mama kama anasita kutoa msimamo! Hii haileti picha nzuri kuacha wasimamizi wa wizara yako wakilalamika dhidi ya lobbying na influence ya middle men! Inakaa hii Wizara Waziri na Naibu Waziri hawatadumu!
Kilombero Sugar Company Limited’s managing director, Guy Williams (L) exchanging contract documents with Kilombero Cooperative Unions’s chairman, Onesmo Mwakyambo soon after signing a two year deal for cane supply to the company by out-growers. Photo: Guardian Correspondent.
No yoghurt, juice , milk ? Are you serious my friend ?Fake statistics is one where an arbitrary figure is given, like by your CCM.
In Kenya we do detailed reports. County by county breakdown. Reports with hundreds of pages.
You are posting a video about a mango processing plant, yet in my visits to Tanzania I see very few options for made in tanzania juices.
A typical Kenyan supermarket has tens of options for mango juice, many of them natural and made in similar plants.
Walking inside a Tanzanian supermarket is a bore. No yorghut, juice, milk, meat varieties. You'll be lucky to see two of the same thing.
I visited one Shoppers branch and all their meat products (sausages, bacon, ham etc) were from Kenyan owned Farmers Choice. Such a tragedy.
And almost every county government in Kenya is opening some kind of fruit processing plant. Makueni just opened one for mangoes recently.
Chuki zitakuua wewe msukule wa Mwendazake.Mama hakuna raisi pale ukisikia PAPETI ndiyo raisi tuliye naye,sijui tuwaambie hadi lini muelewe ,siku hizi hata mapato ya mwezi kwa mwezi awasemi uchumi umebomoka vibaya baada ya magufuli kufariki habari ya chini ya kapeti zinasema serikali ya mama sasa ni kutegemea mikopo na kudanganya watu kuwa mambo yapo sawa