Aguero kajigongea sana demu anayeitwa united.
Na hata wayne rooney anamzidi mabao kwenye hiyo derby kwa sababu yeye alimeanza kucheza hiyo derby tangu zamani tofauti na arguero wa 2011, pamoja na hivyo soon aguero ndio atakuwa mfungaji bora wa manchester derby