Sergio aguero ndiye mchezaji anayefuatia kwa ufungaji wa magoli katika manchester derby baada ya wayne rooney lakin kwa manchester derby ijayo aguero anaeza asiwepo kutokana na kumpiga kiwiko reid wa west ham united. Hamu yangu kubwa ilikua kumuona aguero baada ya kututesa kwa muda kutokana na beki mbovu lakni sasa yupo kisiki erick bailly pale.