Agustino acha kihelehele hapo Mikocheni hayakuhusu baki kwenye line

Agustino acha kihelehele hapo Mikocheni hayakuhusu baki kwenye line

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Hii sio juu yako. Utaharibu Kila kitu. Hehehee! Wenzako wakutafuta uvumba. Bakia line yako. Najulishwa hapa zoezi litashindika kwa muda huo. Mayi pandisha bendera juu ya paa.

Siye twaiona. Walahi unataka kuvuluga mipango. Maandamano ya amani wataki kuleta hasira bule. Mayi hasira weka kushoto.

Huwezi fanya kitu yoyote ukafurahi. Ulinzi kila upande. Saibogi atega mitego kama yote. Tubaki kwenye mchoro. Hehehe miye huku natafuta msosi. Naona doria kama yote. Na bado
 
IMG-20251206-WA0061.jpg
 
Hahahaaaq nilipojiita. Sifi Leo nilijua nimekuuoa
 
Ulisema D6 na D8 kuna watu wataongeaa vip imekuaje huna lolote
 
Back
Top Bottom