Anaposema D09 atakuwepo anamaanisha nini!
Jamaa mbona roporopo sana!
Kama kuna plans wanafanya kwa nini anazianika nje?
Huyu jamaa namuona atakuja kufanya jambo ambalo watu watashika vichwa.Let's see the move ili akija fanya msiseme hauksema
Huyu bwege asitupotezee muda. Kwanza hana hizo sifa anazojitapa, amekuwa mpiga tantalila tu. Ukurasa wa H Polepole umefungwa rasmi. Maana yeye hakutaka Samia agombee urais. Sasa Samia kagombea na kaapishwa. Tunasubiri 2030 hayo mengine hayatuhusuKwa mujibu wa kaka yake Balozi Humphrey Polepole, Kanali Agustino Polepole, amesema kuwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ndiye aliyetoa maelekezo kwamba Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa.
“Kikwete alisema Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa.” Kanali Agustino Polepole, kaka wa Balozi Humphrey Polepole.
Hahahaa inasikitisha sana ,hadi MaFUEL alisema anawashikilia wawili na mnajua Kifuatacho ITV ....HAWANA MAISHA.Siku hizi Kuna vituko police anaogopewa kuliko mwanajeshi Kuna mwanajeshi kaitwa kituo Cha police kawashwa vibao da JWTZ wamekuwa waganganjaa
😄Siku hizi Kuna vituko police anaogopewa kuliko mwanajeshi Kuna mwanajeshi kaitwa kituo Cha police kawashwa vibao da JWTZ wamekuwa waganganjaa
Yani huyu hata hayuko serious na issue ya ndugu yake. Approaches zake sizielewi kabisa. Ukishajirekodi hivi sasa ndio itasaidia Humphrey kurudi? Halafu unatoa maneno yoooote. Ni kama Polepole na yeye. Alikuwa anaongea kwa kujiamini na kutuaminisha hawawezi kumgusa kumbe yuko Ununio! Bora hata angekuwa anatoa mabaya /udhalimu wa hii serikali kama kutia wananchi hasira, na si hizi sarakasi zake za kitoto.Huyu jamaa bhana
Aliyepotea angekuwa mdogo wako ungeleewa hiyo pitch anayoi feel inayompa hiyo guts!!Jamaa mbona roporopo sana!
Tuliza matako chini uangalie kwa makini... mfumo ni uleule wait & see usiwe na pupaAnaposema D09 atakuwepo anamaanisha nini!
Jamaa mbona roporopo sana!
Kama kuna plans wanafanya kwa nini anazianika nje?
Kwamba ridhwan alikua punda!!..muwe mnashughulisha bongo zenuSafari ya China ilihusu kwenda kumtoa Ridhiwani jela baada ya kudakwa na madawa