minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,510
- 22,529
Familia yako na familia ya maccm na mkoloni kaburu anayetawala Tanganyika kidikteta ndiyo familia ya kipumbavuHii familia ya polepole ni familia ya kipumbavu sana
Familia yako na familia ya maccm na mkoloni kaburu anayetawala Tanganyika kidikteta ndiyo familia ya kipumbavuHii familia ya polepole ni familia ya kipumbavu sana
Mtoto wa rais abebe dawa za kulevya,Ili iweje?..aache kutuma wenye njaa?Kwani Ridhiwani ni malaika toka kwa mungu? Wewe ndiyo shughulisha ubongo wako
Mnabadili magoli tu, acheni uwongoAlienda kuchukua teja lake kwa makubaliano maalumu ya siri
Alirudi lini nchini,alipitia wapi?Ni kweli hajapotea, Ila amekwenda kule ambapo hawarudigi, Kama Akina Saanane
Chip charge imeishaHuyu si alisema polepole ana chip
Swala la muda ,waTZ siyo wa kuwachukilia poa...Uchungu wa ndugu huo ,anawezafanya kitu kibaya.Sidhani!!
Navyomuona kama ndugu yake HP wakimuua basi WANAMTANDAO WA KIHUNI wake RADA.Afanye tu kwa kweli!
Huyu jamaa namuona atakuja kufanya jambo ambalo watu watashika vichwa.
JWTZ wamekuwa mabwabwa ndiyo maana kule Eastern DRC walituaibisha sana walivyopigwa mpaka kutekwa na M23, active soldier anakamatwaje na polisi wakati sheria hairuhusu?Siku hizi Kuna vituko police anaogopewa kuliko mwanajeshi Kuna mwanajeshi kaitwa kituo Cha police kawashwa vibao da JWTZ wamekuwa waganganjaa
Yeah ni Professional Soldier wa NATO mwenye mafunzo ya kikomandoo ,Kanali Augustino Polepole.Ni. Mwanajeshi?
Hot headed yule. M/Mungu atadhihirisha kila kitu lakini kwa lolote walilolifanya dhidi yake.Pole pole alishikwa Kizembe kwa kiburi cha kujionyesha, alikuwa anafanya Nini Tanzania?
Lazima angeshikwa tu, alifanya uzembe mwenyewe, na ale ujinga wake mwenyewe.
Lakini haiwezi kuwa mbadala wa juhudi za waTanzania kujikomboa. Aongeze nguvu alipo na uwezo napo; waTanzania tutaubeba mzigo mzima wa ukombozi wetu kwa damu zetu wenyewe.Huyu jamaa namuona atakuja kufanya jambo ambalo watu watashika vichwa.
Samahani.Nafikiri inabidi familia ifanye sana maombi hili lisipite hivi hivi. Kila aliyehusika kwenye kumteka Polepole vile na ubaya wowote walioufanya zaidi ya hapo, M/Mungu amlipe hapa hapa duniani. Na pia awape closure kwa lolote linaloendelea juu ya Polepole. Akili yangu inaungana na wengi kuwa wameshamuua.
Rostam Aziz ndiyo Adui namba moja wa polepoleNafikiri inabidi familia ifanye sana maombi hili lisipite hivi hivi. Kila aliyehusika kwenye kumteka Polepole vile na ubaya wowote walioufanya zaidi ya hapo, M/Mungu amlipe hapa hapa duniani. Na pia awape closure kwa lolote linaloendelea juu ya Polepole. Akili yangu inaungana na wengi kuwa wameshamuua.
🤣Ni kama Polepole na yeye. Alikuwa anaongea kwa kujiamini na kutuaminisha hawawezi kumgusa kumbe yuko Ununio!
Usiishi kwa kukariri. Magufuli nilimpiga vita kwa vile ndiye chanzo cha uozo huu wa kutekana na kuua na kuharibu demokrasiaInasikitisha kuona namna watanzania milivyo na sura 2. Ulipinga udhalimu wakati wa jiwe na sasa una uunga MKONO.