PostGE2025 Agustino Polepole: Kikwete alisema Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Pole pole alishikwa Kizembe kwa kiburi cha kujionyesha, alikuwa anafanya Nini Tanzania?

Lazima angeshikwa tu, alifanya uzembe mwenyewe, na ale ujinga wake mwenyewe.
Alikuwa anajiona un touchable. Karma is a bitch. Kama na yeye alihusika na matukio ya watu kutekwa katika serikali ya mwendazake basi amelipia karma yake
 
Ni kweli umoja ni nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…