ah!!!! Jaman yamenikuta msaada plz

Kujaribiana ni muhimu kabla ya ndoa. Kama kibamia chako kinaelea bila boya pata anaekutosha. Ukibugi step tu hapo maisha yako ya ndoa yatakuwa machungu. Halafu kuna mazoezi ya kurudisha utight, mwambie awaone wataalam.
 
nahisi kama limekuganda coz hujibu mada unatafuta maswali, fuatlia post zangu ktk mada hii utaelewa taratibu wa2 ka nyie huwa hatuendi nanyi haraka kwan mwafahamika ati!

jibu basi maswali yangu!
Try to relax lasivyo utaishia kubadili wanawake kama nguo ukizani tatizo ni upana wa k!

Umejaribu kumuuliza mtu wako yeye ana hisi kwa nini anachelewa kufika?

Ukute we unasema k yake ni pana na yeye anasema uume wako mdogo!

Try to balance your reasons
 
Na wanaotembea na wanaume za watu wakijua kabisa wameoa na wanajiweka hapo kabisa.
 
kaka kwani unataka kuoa UKE au unataka kuoa MWANAMKE?
kimsingi jali tabia kwanza, maana ndoa ilipaswa iwe ni baina ya mabikira wawili.
kitendo cha kukuta UKE mkubwa, na wewe kung'amua kuwa ni mkubwa ni matokeo ya kushiriki ngono kabla ya ndoa.
hivyo kaka hutakiwi kufikiria mara mbili, huyo ni wako mkubwa!
 

Kwani ulipoamuwa kukubali kuowana nae nawe unalijuwa tatizo hilo, ulikubali kwa kigezo gani chengine? Kama kuna vigezo vyengine tupe halafu tukushauri.
 
mtoto ana "K" kwa hiyo inabidi ukubali tu tumia stail ili kujiridhisha na kumridhisha pia sio ishu kubwa hiyo
tena huyo ni mzuri sana
 
hawana alama yoyote, ila mimi mwana mke wangu wa kwanza kujamiana naye k -yake haijabadilika ipo vilevile mnato..

ILA eti nimesikia akija jifungua tu lazima iongezeke, nikafanya utafiti kwa wakubwa zangu wakaniambia kuwa ni lazima iongezeke akijifungua kupitia uke.. Akitaka uke wake usiongezeke ajifungue kwa operation..
 
kuna madada wana' k' balaa...na ukiwa nae utajua tu anabana miguu hapanui kishamba...luka ukuta kama vipi
 
Tafuta mbinu ya kutibu tatizo mkuu utakimbia wangapi?
 
pole mkuu swala hapo ni maumbile ndiyo maana kuna warefu na wafupi sioni tatizo la kukumiza kichwa sn swala la msingi kutazama vigezo vingine vya msingi kuwa anafaa kuwa mama wa familia yako waweza kumtafuta mweye maumbile madogo ikawa taabu ukaja ukamkumbuka huyu mwenye maumbile makubwa. Uzuri umeshagundua tatizo keti nae chini kuwa muwaza muwe mnatafuta mbinu mbadala za kulizishana ktk tendo la ndoa mahusiano yenu yatadumu.
 
si umuache... ya nini kumsengenya tafuta ataye kufaa aaaggh!
 
Astaghafilullah!Laanakum!Yaani umwambie ana 'k' kubwa???
Unajua nn ukitaka kuona raha kwenye mahusiano kuwa mkwel tu hata kama utatembea na watatu kwa nyakat tofaut mueleze atakaye kuja coz uspo mwambia akija kubain hato kuwa na iman na ww kama mwanzo
 
 
i also had same experience, japo kwangu ilikuwa ni casual relationship bt K ilikuwa loose sijui labda coz alikuwa na maji mingi, but ilikuwa inabidi nifanye kazi ya ziada kumfikisha japo nilikuwa siinjoy kabisa
 

Keep on learning,tafuta na tution ufundishwe jinsi ya kustiri aibu ya mwenzio,ukishafuzu ndio ujipange kuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…