Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nahisi kama limekuganda coz hujibu mada unatafuta maswali, fuatlia post zangu ktk mada hii utaelewa taratibu wa2 ka nyie huwa hatuendi nanyi haraka kwan mwafahamika ati!
kaka kwani unataka kuoa UKE au unataka kuoa MWANAMKE?nop coz huyu si mwanamke wa kwanza kuwa nae hadi umri huu nlio fikia hadi kutaka kuoa ujue kama k nshazipitia nying na hadi nauliza ujue nimeona tofauti na kawaida,kuhusu mie shaka ondoa tia ushauri wako kuhusu swali husika nlikuwa nasikia tu kuna wadada wana k kubwa na sikuwah kukumbana nayo an ths time is ma lesn 2 learn.
nimekuwa katika mahusiano ya tempo kwa miaka kadhaa kutokana na kuwa na mpenzi ambaye sikuwa na makubalino naye ya kuoana, sasa hivi karibun nimepata bintii ambaye tulipo anza mahusiano tulikubaliana kuja kuwa mume na mke kwan kabl ya hapo tulishakuwa tunafahamiana ingawa si katika mahusiano, lakin tatizo ambalo naliona kwa huyu binti ni kwamba ana "k" pana sana ambapo huwa inanifanya nichelewe sana kufika na hata yeye pia huwa anachelewa kufika na ili afike ni lazima anyoshe miguu kabisa ndo anafika sasa hii hali inanifanya nisienjoy game kwan yanibid nijizuie kufika haraka ili afike yeye kwanza, kwan nhisi nkiwahi mimi ndo kwanza ntamuacha njian,na kama mnavo jua round ya pili ndo huwa kunapwaya zaid, nomba msaada wenu wa ushauri nifanye nini? au nimuache?kwan hata jmaa aliye kuwa naye mwanzo alimuacha ingawa sijui km sbabu ndo hii ama la.
Hivi mwanamke unaambiwa kabisa na mwanamke kuwa uhusiano wetu ni wa "tempo" na wewe unajiweka hapo kabisa!!!
Unajua nn ukitaka kuona raha kwenye mahusiano kuwa mkwel tu hata kama utatembea na watatu kwa nyakat tofaut mueleze atakaye kuja coz uspo mwambia akija kubain hato kuwa na iman na ww kama mwanzo
Hebu google 'kegel exercise'
Ili kupata matokeo inachukua miezi 6+ lakini inasaidia sana. Mfundishe kufanya hilo zoezi na wewe pia ufanye itawasaidia kwenye kuji-control.
Kiufupi: wakati wa kutoa haka ndogo, hakikisha kibofu kimejaa (umebanwa). Achia haja kwa sekunde kadhaa, kisha ikate kabisa kwa sekunde 5. Endelea hivyo hadi utakapomaliza. Wakati uko bored kaza misuli na kuiachia (works when u ar talking to a boring person, safarini, kikaoni etc).
haya mazoezi yanaitwa mazoezi ya pc nilishawahai kuyaleta hapa watu wakanipigia domo inatakiwa kuwa mwangalifu ili kutofautisha msuli wa uke na msuli wa paja.ukiwa umebana miguu yote au umekaa hapo utakuwa unabana msuli wa paja
kafunguo ka toyota starlet au yaris
uliangalia sura.....
nop coz huyu si mwanamke wa
kwanza kuwa nae hadi umri huu nlio fikia hadi kutaka kuoa ujue kama k
nshazipitia nying na hadi nauliza ujue nimeona tofauti na kawaida,kuhusu
mie shaka ondoa tia ushauri wako kuhusu swali husika nlikuwa nasikia tu
kuna wadada wana k kubwa na sikuwah kukumbana nayo an ths time is ma
lesn 2 learn.