mjanjamimi
Member
- Nov 26, 2010
- 87
- 7
Sikiliza kijana, ni vibaya sana kutangaza mambo hayo. Sasa naye akija hapa akidai jamaa yangu ana kibamia kama wanavyoita wenzako hap utajisikiaje? Umeshauriwa mengi hapa lakini kwa kuongezea unaweza kushauriana naye mkenda kuipunguza kwa kuishona hospital au kutumia dawa za asili ikakaza kama bikira. Na yule aliyesema mke akizaa k inapanuka sio lazima. Ukizaa kama kuna njia imongezwa inashonwa na wengine wenye upendo wanakushona unakuwa bikira kuliko mwanzo.