Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Malipo ni hapahapa duniani wewe unakula tunda la watu alafu unamwambia mtoto wa watu eti uhusiano ni tempo, sasa hivi unatuambia huyu ana k kubwa na ukimwacha huyu tena utapata mwingine ambae utatuambia haionekani. MIE NADHANI WAKATI MWINGINE VIJANA MNATAKA WENYEWE KWANINI MSITULIE KAMA SIE ENZI ZETU UKIPATA KITU HICHOHICHO TU, SASA NYIE VIJANA WA SASA MNAONJA SEHEMU NYINGI KIASI KWAMBA MNACHAGUA CHAGUA TU, KAMA INGEKUWA ENZI ZETU HAPO UKIGUSA KAMA UKIKUTA K KUBWA NDIO UNAJUA NDIO ZILIVYO NA TULIKUWA HATURUHUSIWI KUSIMULIANA, SAS NYIE KIZAZI HIKI UMESHAFANYA MAJARIBIO KWA WATU ZAIDI YA 25 LAZIMA KUFANYA DECISION INAKUWA NGUMU.