Mwanafunzi huru
Member
- Jan 7, 2023
- 79
- 80
Ahadi ya Ajira ya kuajiri Askari wapya wanyamapori itatekelezwa lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui ,watalifanyia kazi hili Jambo lini?Hyo ahadi Katoa Nani ? Kama ni majaliwa hata msichukulie sserio
Serikali inasema Mjiajiri kama machingaAhadi ya Ajira ya kuajiri Askari wapya wanyamapori itatekelezwa lini?View attachment 2472576
Tujiajiri wkt hifadhi zipo na hazina watumishi wa kutosha na kodi tunalipaSerikali inasema Mjiajiri kama machinga
Na ndio majangili yameanza kurudi Mpaka yule Simba wa Serengeti National park "Bob junior" ameuliwa na majangili halafu hawataki kuajiri na kigezo mtu taaluma anayo mafunzo yote anayo huja ajiri kwa miaka takribani 7 halafu unasema kigezo eti miaka 25 ndio kigezo cha umri cha kuajiriwa halafu ajira zenywe ni za umma kwa nini vinawekwa vigezo kama vile ni ajira za taasis za binafsi GENTAMYCIME utusaidie mkuu kulisemea hili maana imekuwa inakatisha tamaa sana TumainiEl @Tanapa @Mchengerwa @Wizara ya Maliasili na UtaliiKuna uhaba mkubwa wa askari wa wanyama pori. Vituo vyao vina askari wachache na ulinzi na doria vimedorola. Matokeo udhibiti wa wawindaji haramu ni mdogo hasa mapori yanayo zungukwa na vijiji. Wasanii wanakopeshwa hela wakatunge nyimbo za kusifu CCM badala ya kuelekeza kwenye ajira, kilimo na tiba.
Mkuu ,bado miezi 3 bajeti ya kiserikali iishe na hao askari 6,000 ajira hazijatangazwa mpk sasa halafu pia vigezo ni dhaifu sana ..watu wako na taaluma zao na mafunzo ya umahiri wa taaluma wanayo kwa nini uwawekee ukomo wa miaka 25 kuajiriwa na wkati umri wa miaka 55-60 ni umri wa kisheria wa kustaafu hawajafikiaSubira yavuta kheri...
Duh !Hyo ahadi Katoa Nani ? Kama ni majaliwa hata msichukulie serious