Ahadi yako iwapo Stars itafuzu 16 bora

Ahadi yako iwapo Stars itafuzu 16 bora

rafiki jiandae kisaikolojia - mie nafurahi tumefika hapo. lakini kuendelea inawezekana kwa MUUJIZA -ila ki ukweli baaadoooo
Nijiandae kisaikolojia kwa wachezaji kina Sonso!!!??
 
Nitajitoa jamii forums hadi watakavyofuzu tena
 
Wengi tunaona hili Jambo haliwezekani kabisaaaa.
Mimi Stars wakifuzu nitawapa nitawazawadia 20,000/= Kila mchezaji. Pia nitaanza mchakato wa kugombea Urais 2020 nitaamini hakuna kinachoshindikana hapa duniani
Weka ahadi yako tafadhali
Mimi nitaenda kambi yoyote ya jeshi halafu nawamwagia mifuko ya plastic halafu nawaambia wanichagulie gereza VIP nikaishi huko Miaka yote [emoji23] [emoji23]
 
Nimehairisha ...kwa kanuni ... Ntakunya tuuuu Airport mpaka Jet Corner....
 
Back
Top Bottom