Uchaguzi 2020 Ahadi za mgombea wa urais CCM nyingine ni za majukwaani tu. Watanzania muwe makini

Tumewazoea tangu CCM izaliwe 1977 usemi Ni huo huo.JK alikuja na kauli ya kilimo kwanza ,kilimo kwanza ikawa V6 magari makubwa ya wakubwa
Wanatufanya watoto wadogo kila uchaguzi. Wapigwe chini kabisa.
 
Ccm wanafanana na waganga wa kienyeji.kila wakati wanakuja na jipya kumbe ni lile lile. Tujitahidi iwe KANU
Kweli mkuu. Ahadi jukwaani ni tamu sana. Lkn CCM wakishinda wanaanza kututeka, kutuua na kutuita wanyonge.
 
Hilo limegoma.
Sasa anawatumia wasanii zaidi ya 200 ili kuvutia watu kwenye kampeni zake kwani si rahisi tena watu kwenda.
Si ndiyo maana anaomba tena kura za ndiyo ili ayatimize yote aloyoahidi? Tumpambee Magufuli tumpe kura za ndio.
 
pamoja na kutotimiza ahadi zao,ccm bado huwa wanashinda tena kwa kishindo

swali...nani anawapigiaga hizo kura za ndiyo ilhali ni malalamiko toka @ sekta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…