Uchaguzi 2020 Ahadi za mgombea wa urais CCM nyingine ni za majukwaani tu. Watanzania muwe makini

Uchaguzi 2020 Ahadi za mgombea wa urais CCM nyingine ni za majukwaani tu. Watanzania muwe makini

Yeye mwenyewe aliwahi kusema Mara kadhaa walipomhoji juu ya ahadi zake.....Alipenda kusema hivi..." Yale ni Maneno ya kwenye kampeni" huyu mzee maisha yake na watz miaka hii Mitano ni Kama alijisahau kua atatakiwa Kuja kujieleza Tena.
 
lipenda kusema hivi..." Yale ni Maneno ya kwenye kampeni" huyu mzee maisha yake na watz miaka hii Mitano ni Kama alijisahau kua atatakiwa Kuja kujieleza Tena.
Sasa ndiyo apigwe chini ili arudi kwao Chato
 
CCM imegeuzwa kuwa taasisi ya kukoroga kinyesi na huyu bwana bichwa korosho
 
Mwaka huu NEC watakimbia ofisi. Wamuulize Rais mstaafu kaunda wa zambia,alishindwa uchaguzi kwa sababu ya kukosekana kwa unga wa sembe. Pamoja na kuwa aliijenga TAZARA ambayo ni SGR
Asante kwa ugali huu wa kumbukumbu. Natamani mgombea wa ccm aisome hii.
 
Vitu hivi ndio inabidi viibuliwe na kuatwanywa. Kuna list ndefu sana ya ahadi zake. Zaidi ya 70% hazikutekelezwa kabisa. Nashangaa kwa nini wapinzani hawasemi haya.
Mkuu inabidi tuwasaidie kuyaibua ili huyu John asichaguliwe tena. Miaka mitano mingine ikiongezeka kwa huyu John atatakufa kifudifudi
 
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu

Ii haina tofaut na ahadi za kutoa maziwa kwenye mabomba
 
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu

Ii haina tofaut na ahadi za kutoa maziwa kwenye mabomba
Umeona ee? Walipokuwa wakiulizwa wanasema mil 50 tushazitoa ktk elimu bure. Duuh! CCM wakapumzike jamani.
 
Hivi beberu ni kina nani? Mapigo ya ngoma ni tofauti na unavyocheza
Kwa kuwa hujauliza mamluki na pandikizi ni akina nani, sina shaka kabisa unajua pia mabeberu ni akina nani.
Hata hivyo, sio kila mchezo unahitaji mapigo ya ngoma. Kwani mchezo wa mpira unahitaji mapigo gani ya ngoma?
 
Back
Top Bottom