Sasa hauoni ni kazi ya Mkurugenzi wa Manispaa!! Yeye kajionea ni moja ya mambo muhimu. Kujenga ghala mbona huyu mama anatembea na ahadi nyepesi sana.Ujinga kujenga Ghala la chakula?
Kwani Ngerengere ipo chini ya manispaa?Sasa hauoni ni kazi ya Mkurugenzi wa Manispaa!! Yeye kajionea ni moja ya mambo muhimu. Kujenga ghala mbona huyu mama anatembea na ahadi nyepesi sana.
NakaziaUjinga mtupu huu.
Matangazo ya Tume hujayasoma?Nyerere alishindana na nani?Samia anashindana na nani ?
Baada ya miaka 60 ya uhuru ndio tupo hapa?View attachment 3458627
Ngerengere ni Kitovu cha Biashara,Kilimo na Uchumi.
Hili ni eneo linalokuwa kwa kasi na hupokea wageni wengi ikiwemo kutoka Congo, Rwanda na Burundi.
Kwa umuhimu huo basi ni busara kuboresha huduma za jamii na kurahisisha uhifadhi na usafirishaji wa mazao. Ni ahadi zenye kutimizwa.
NGERENGERE WANATIKI X2
View attachment 3458634