Kumbe umejifunza humu humu JF tokea 2011; halafu ndio sasa umejifanya mjuzi wa kuwafundisha wengine?Jifunze tulia ujifunze zisome siasa za Tanzania tena ikiwezakana kupitia topics na mada za muda mrefu ndani ya JF
Inategemea uwezo wa kujifunza alio nao mwanafunzi. Kama wewe ulijikita kujifunza takataka utaishia miaka yote kutoa takataka tu maisha yako yote.JF ni darasa la Siasa hata Lissu alijifunza humu humu
Chagua upande sahihi wakati wote.Inategemea uwezo wa kujifunza alio nao mwanafunzi. Kama wewe ulijikita kujifunza takataka utaishia miaka yote kutoa takataka tu maisha yako yote.
Hata hivyo, usijilinganishe na Tundu Lissu kwa namna yoyote ile. Hakuna lolote linalokaribiana na uwezo alio nao Tundu Lissu.
Huko ndiko ninako kuita kukosa upeo. Kushindwa kujuwa "upande sahihi" ni upi. Wewe umeamua kuchagua upande hasi kwa sababu huna uwezo wa kujuwa "sahihi" ni nini.Chagua upande sahihi wakati wote.
Sijawahi kukaa upande ulioshindwa ...huo ni upeo wa kuona beyond the horizon.Huko ndiko ninako kuita kukosa upeo. Kushindwa kujuwa "upande sahihi" ni upi. Wewe umeamua kuchagua upande hasi kwa sababu huna uwezo wa kujuwa "sahihi" ni nini.
Duh!Sijawahi kukaa upande ulioshindwa ...huo ni upeo wa kuona beyond the horizon.
Wakati wewe unaishia kuona kidole gumba.
2020 hilo gudulia lilibebwa na Magu!2020 Tundu lissu alishiriki na Samia alikuwepo.akaambulia aibu akarudi ubelgiji kunywa chimay