Ahadi zilizoshindwa kutekelezwa na Askofu Gwajima

Uongo wa mtu huwa tunaona mwenye macho sio maneno. Ndio maana wenye akili walizipuuza. Hii haimaanishi hakuna KITU Bora kwake ndio maana iliwezekana hata Nazareth mji Dhaifu kumtoa Yesu.
 
Gwajiboy kashawatia dole na inanuswa na watz wote...
 
Jibuni hoja juu ya utekwaji wa Wananchi na kuuwawa . Gwajima ni mbunge wa CCM akishindwa kutekeleza ahadi ni CCM imeshindwa
 
So what? Kaongelea mauaji na hiyo ndo agenda muhimu kwa sasa, mengine yote wanakawe tumesamehe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…