Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Siku zote vilaza huwa hawana uwezo wa kumjibu mtu kwa hoja! Badala yake hujikita kwenye kutukana matusi, kuchamba, kutengeneza majungu na fitna, kutisha, kuua, kuteka, kupoteza, nk.
Jibuni hoja zake nyinyi vilaza. Hatuvitaki hivi vioja vyenu.