Siku zote vilaza huwa hawana uwezo wa kumjibu mtu kwa hoja! Badala yake hujikita kwenye kutukana matusi, kuchamba, kutengeneza majungu na fitna, kutisha, kuua, kuteka, kupoteza, nk.
Dhamira yako ovu hii, ni mpumbaf pekee ndiye anayeweza kukuelewa.
Kufukua makaburi hakufufui marehemu
Hata yeye hakuwa sahihi alikuwa anasafirisha wanyama live kwenda uarabuni au unesahau!Kinana alikua mtu sana pale CCM, very smart.
Unaulizwa mbona unajinyea, unajibu mbona wewe jana hukuoga.
Bora Kenya kapatikana. Tanzania ukitekwa unapotea na serikali Haina majibu. Watu 83 mpaka sasaLabda we utuambie nani anawateka. Jana mbunge wa Kenya amepatikana hajitambui, utuambie ww ni nani alimteka?
Tuandikie na ahadi za CCM walizoshindwa kutekeleza.
BabakoLabda we utuambie nani anawateka. Jana mbunge wa Kenya amepatikana hajitambui, utuambie ww ni nani alimteka?
Kwani huyo Gwajima ni wa chama gani??😄😄😄mbona mnajitekenya wenyewe😄
Wekeni na za sisiemu nzima matapeli nyie
Labda kwanza ungefafanua maana hoja halafu tungeanzia hapo.We zombie hujui ht maana ya hoja
Aliekua wa kwanza (mshindi) alikua ni Msukuma pia, na tena ni mpwa wake Magufuli. Toa sababu nyingine ya kuwekwa kwa Gwajima, hiyo ya ukabila haiwezi kuhusika kwenye kesi hii.Magufuli alilazimisha kwa kuwa ni msukuma.
Yule Dingi alikuwa anaziweza siasa za hoja naoana kaona mauaji yameongezeka kaamua kujitenga na utawala huu wa chinja chinja TekaTeka wa Chifu Hangaya mtekaji.Kinana alikua mtu sana pale CCM, very smart.
Unaulizwa mbona unajinyea, unajibu mbona wewe jana hukuoga.
Hoja zake vipiKawe, fukuzeni huyo
Ujinga kama huu unapatikana ccm pekeeHuyo ni tapeli, ht hivyo hakuchaguliwa Kawe, kura za maoni alikuwa wa 3, Magufuli alilazimisha kwa kuwa ni msukuma.