ankal wewe unachukua kadiploma ka mambo ya gardening hauwezi kuelewa mambo kama haya.
natoka kidogo dearest naomba nikiwa sipo hawa serengeti boys ukae mbali nao,cheers.Gosh!Hivi kumbe nimeshushwa kiwango hapo!Twende zetu dearest...siangalii tena nyuma!
heheheh! na huyu ndio mume mtarajiwa wa Lizzy. Dah! kweli love is blind yaani Lizzy ndio haoni kiasi hiki?Ile dozi yako ya kuchemsha majani ya mpapai na kisha kuoga nazan bado hujaimaliza . . .
hapo red kamanda umeimprove kweli siku hizi. Dah! JF isifiwe. aaaamen!natoka kidogo dearest naomba nikiwa sipo hawa serengeti boys ukae mbali nao,cheers.
Hivi watu wanapoahidiana kupendana milele hua wajisikia hivyo ndani ya nafsi zao au hua wanasema kuridhishana tu??Binafsi sijawahi kwasababu hua napenda kutimiza ahadi zangu!
:shock::shock:
Chumba hichi hichi nilipo mimi ?
Naomba wifiyo Michelle awepo
Ili upate faraja ya muda mfupi then basi yaani hii haikwepeki sababu mtu anapotoa ahadi anajua kwamba ataweza kuzi keep ila ndio hivo tena ya dunia mengisasa kwa nini uidanganye nafsi yako?
Fafanua, halaf nilimiss kuquote post yako kweli aisee....uchangiaji kama huu unafanya member wengine tuwe under constant surveillance...
Usijali Freema tunaomba maoni yako juu ya Ahadi...uchangiaji kama huu unafanya member wengine tuwe under constant surveillance...
Lizzy hujasoma vizuri hapa nini,eti wewe sio 'kifaa cha viwango vya paradiso' ?
Labda unitose wewe dearest.
mmmmhhh kuvua gamba naweza kabisa....tena la Lizzy tu...uwe na amani CPU!!!
Fafanua, halaf nilimiss kuquote post yako kweli aisee.
inasemekana thread kama hizi ni za wale wanaotafuta wenza (no pun intended)... so some of us tunakuwa scrutinized.
@ Gaga mapenzi ya kweli hayataki ahadi, kuna be yourself by 50%, 20% agreements na 30% compromises.
hata mimi nilipokupata wewe watu kibao walini PM kuniambia....love is blind if you love Kloro....kazi kweli kweliheheheh! na huyu ndio mume mtarajiwa wa Lizzy. Dah! kweli love is blind yaani Lizzy ndio haoni kiasi hiki?
hiyo red, am in love with ur statement again. hapo blue hehehe :tape2:
in this case love is not blind, hao jamaa ndio mablind, ukifatilia sana utagundua ni ccm tu hao.hata mimi nilipokupata wewe watu kibao walini PM kuniambia....love is blind if you love Kloro....kazi kweli kweli
Eti kaenda gesti na Poroto wakat kesho Mfalme wa Dunia anasambaratisha wazinifu wote
Hivi eee kwa hiyo ile ahadi ya kanisani nayo tuiweke kwenye group gani kati ya hayo uliyoyataja?inasemekana thread kama hizi ni za wale wanaotafuta wenza (no pun intended)... so some of us tunakuwa scrutinized.
@ Gaga mapenzi ya kweli hayataki ahadi, kuna be yourself by 50%, 20% agreements na 30% compromises.