Ahadi!

Ahadi!

Ile dozi yako ya kuchemsha majani ya mpapai na kisha kuoga nazan bado hujaimaliza . . .
heheheh! na huyu ndio mume mtarajiwa wa Lizzy. Dah! kweli love is blind yaani Lizzy ndio haoni kiasi hiki?
 
Hivi watu wanapoahidiana kupendana milele hua wajisikia hivyo ndani ya nafsi zao au hua wanasema kuridhishana tu??Binafsi sijawahi kwasababu hua napenda kutimiza ahadi zangu!

Ahadi nyingi hutoka pale mtu anapokuwa hajitambui kifikra ila akiamini promising good and expensive matters ni njia pekee ya kumblind anayemuahidi na kumnasa kirahisi mwisho wa siku akishakaa akatafakari anagundua hawezi anajenga hoja "PROMISE DOES'NT MEAN DELIVERY, YOU CAN SEE THERE ARE CLOUDS BUT IT DOES'NT RAIN" this means ahadi nyingi hutolewa pale mtu anapokuwa na roho ya tamaa na ulafi wa keki iliyopo mbele yake.
 
:shock::shock:

Chumba hichi hichi nilipo mimi ?

Heheheh
Yaan umejitanguliza rum kabla ya unaemuiba?
Halafu unamtumia vimeseji eti aje rum ya London ktk Gesti ya hapo kwenu tandika mabatin???!!!

Utajuaje kama simu yake ninayo???
La la la la . . .
 
...uchangiaji kama huu unafanya member wengine tuwe under constant surveillance...
 
sasa kwa nini uidanganye nafsi yako?
Ili upate faraja ya muda mfupi then basi yaani hii haikwepeki sababu mtu anapotoa ahadi anajua kwamba ataweza kuzi keep ila ndio hivo tena ya dunia mengi
 
Lizzy hujasoma vizuri hapa nini,eti wewe sio 'kifaa cha viwango vya paradiso' ?

Labda unitose wewe dearest.

Nafurahi kuona kijana kama wewe unamtunishia misuli waifu ili akuone kidume cha mbegu,
Waulize wenzako, huko unapowazia ukachomeka nimeweka msumeno wa bati, usipoona head yako baada ya kuzama na kutoa tusiulizane
 
Fafanua, halaf nilimiss kuquote post yako kweli aisee.

inasemekana thread kama hizi ni za wale wanaotafuta wenza (no pun intended)... so some of us tunakuwa scrutinized.

@ Gaga mapenzi ya kweli hayataki ahadi, kuna be yourself by 50%, 20% agreements na 30% compromises.
 
hiyo red, am in love with ur statement again. hapo blue hehehe :tape2:
 
heheheh! na huyu ndio mume mtarajiwa wa Lizzy. Dah! kweli love is blind yaani Lizzy ndio haoni kiasi hiki?
hata mimi nilipokupata wewe watu kibao walini PM kuniambia....love is blind if you love Kloro....kazi kweli kweli
 
inasemekana thread kama hizi ni za wale wanaotafuta wenza (no pun intended)... so some of us tunakuwa scrutinized.

@ Gaga mapenzi ya kweli hayataki ahadi, kuna be yourself by 50%, 20% agreements na 30% compromises.
Hivi eee kwa hiyo ile ahadi ya kanisani nayo tuiweke kwenye group gani kati ya hayo uliyoyataja?
 
Back
Top Bottom