Ahh Kumbe!

Ahh Kumbe!

Lady

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2010
Posts
282
Reaction score
62
A HUSBAND COMES FROM CHURCH;
HE GREETED HIS WIFE AND LIFTED HER UP.
HE CARRIED HER AROUND THE HOUSE.

THE WIFE WAS SO SURPRISED AND SHE ASKED 'DID THE PASTOR PREACH ABOUT BEING ROMANTIC'?
THE HUSBAND SAID, 'NO, HE SAID WE MUST CARRY OUR BURDENS AND SORROWS'.​
 
Hakuna mtu perfect...ndoa ni pamoja na kuchukuliana, kuvumiliana, kusameheana...
 
A HUSBAND COMES FROM CHURCH;
HE GREETED HIS WIFE AND LIFTED HER UP.
HE CARRIED HER AROUND THE HOUSE.

THE WIFE WAS SO SURPRISED AND SHE ASKED 'DID THE PASTOR PREACH ABOUT BEING ROMANTIC'?
THE HUSBAND SAID, 'NO, HE SAID WE MUST CARRY OUR BURDENS AND SORROWS'.​
LOL ...Lady kwa vituko. Congrats u just made my morning.
 
A HUSBAND COMES FROM CHURCH;
HE GREETED HIS WIFE AND LIFTED HER UP.
HE CARRIED HER AROUND THE HOUSE.

THE WIFE WAS SO SURPRISED AND SHE ASKED 'DID THE PASTOR PREACH ABOUT BEING ROMANTIC'?
THE HUSBAND SAID, 'NO, HE SAID WE MUST CARRY OUR BURDENS AND SORROWS'.​

Lady kwa kweli hapo umenivunja mbavu. Lakini kweli wanawake wengine Bwana! ni matatizo tupu.
 
LOL! Nahisi huyo wife alizimia baada ya hilo jibu. Ila swali lake na yeye lilikuwa limekaa kichokozi
 
Wana ndoa wengi wakifanya hivo basi matatizo yanaweza pungua ktk ndoa nyingi. :A S-rose:
 
Hata kama anakuwa na cheichei pembeni na akamfanyia haya "Y WIFE" (kwa ki Kwaaa), Kwa kweli ndoa itadumu daima dumu. Ukicheki pia na mtu mzima umetokea Church! Dah kweli hata umungu wa pili hapo home utapewa. Jitahidini wanaume wetu jamani.
 
A HUSBAND COMES FROM CHURCH;
HE GREETED HIS WIFE AND LIFTED HER UP.
HE CARRIED HER AROUND THE HOUSE.

THE WIFE WAS SO SURPRISED AND SHE ASKED 'DID THE PASTOR PREACH ABOUT BEING ROMANTIC'?
THE HUSBAND SAID, 'NO, HE SAID WE MUST CARRY OUR BURDENS AND SORROWS'.​

This is improper!

Much as marriage can have problems one cant call the spouse "Burdens and Sorrows"!!
 
Wageni wa mapenzi na mkumbushwe kuwa mambo mengi ya mapenzi huisha baada ya harusi tu!...Ona hapa mwanamke anashangaa kubebwa(inaonyesha ni baada ya miaka kadhaa tokea kubebwa mara ya mwisho)!...WITO: Tusifanye vitu ambavyo tuna uhakika hatutaweza kuvi'sustain hapo baadae katika safari ya mapenzi!
.......(nakiri kiutu'uzima kuwa hii picha ya waliobebana imekaa kiuchokozi)
 
Back
Top Bottom