Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Huyu jamaa tangu aingie kuwa afisa habari wa Simba, timu ya Simba haijawahi kuifunga timu ya Yanga, pia mwenendo wa club yetu umekuwa wa hovyo sana, kila siku analeta porojo tu.
Mimi nadhani huyu mwamba katuletea bundi, bora asepe tu tumrudishe Manara hata kama hatumpendi.
Update:
www.jamiiforums.com
Over.
Mimi nadhani huyu mwamba katuletea bundi, bora asepe tu tumrudishe Manara hata kama hatumpendi.
Update:
Tangu Ahmed Ally aje Msimbazi timu yetu haijawahi kuifunga timu ya Yanga
Mara yamwisho tumeifunga Yanga kule kigoma kwenye FA goli 1 bila, wiki hiyo mgogoro wa Manara na Barbra ulikuwa kwenye peak. Baada ya Manara kwenda Yanga, kijana machachari Ahmed Ally akaja Simba. Sasa tangu aje Simba hatujawahi kuifunga Yanga mara 5 mfululizo, binafsi nahisi huyu mwamba ana...
Over.