Ahmed Ally ana gundu?

Watu wa Simba mnaamini sana katika mikosi. Msemaji wa Club anafanya nini hadi wachezaji wenu wanashindwa kupata ushindi?
 
Ingependeza wakosoaji wa Simba Yanga kbla ajaanza kukosoa ni vema angeonesha kadi ya wanachama ndo uanze kukosoa

Majungu na lawama nying wakat ata huna kadi ya uanachama

Ifike pahali mwenye pesa aeshimiwe tofauti na apo hii tabia yetu ya maskini jeuri hautatusaidia zaid ya kuturudisha nyuma
 
Mafanikio ya Simba hayapimwi kwa kuifunga Yanga. Upuuzi huu mnao huko Yanga tu.
 
hana gundu,huo ni mpira bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…