Ahmed Ally anauliza kesho wapumzike au washushe mashine?

Ahmed Ally anauliza kesho wapumzike au washushe mashine?

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Afisa Habari wa Timu ya Simba Ahmed Ally anauliza kama kesho wapumzike au washushe mashine ya kufukuza/kukimbiza Wanyama Mbugani?

Kwa kauli hii ya Ahmed Ally unahisi ni Mchezaji wa nafasi gani anatarajiwa kutangazwa?
 
Simba raha nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Nahili ndilo kombe letu wallahh,🖐🏿🖐🏿🖐🏿👆🏿
 
Na Wao Waende Airport na tinted range Wakivizie hicho Kifaa Wakipore, Walipize walivyoporwa ..!

Masikini Uto,GSM hela imekata
 
Back
Top Bottom