Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Afisa Habari wa Timu ya Simba Ahmed Ally anauliza kama kesho wapumzike au washushe mashine ya kufukuza/kukimbiza Wanyama Mbugani?
Kwa kauli hii ya Ahmed Ally unahisi ni Mchezaji wa nafasi gani anatarajiwa kutangazwa?
Kwa kauli hii ya Ahmed Ally unahisi ni Mchezaji wa nafasi gani anatarajiwa kutangazwa?