Wameshachukua makombe mawili, kombe la robo fainali na kombe la kufa kiume.simba wamejimaliza wenyewe kupitia mchezo wao wa jana dhidi ya Namungo. kabla ya game ya jana Yanga alikuwa na nafasi ya asilimi 85 na simba asilimia 60 ya kuchukua ubingwa. sioni Simba ikichukua taji lolote msimu huu
Watu makini huwa hawaishii kutoa maoni kama hayo tu, ulitakiwa uende mbali zaidi. Mfano, kwenye hiyo orodha ya unaotaka waachwe, kuna wazawa akina Nyoni, Bocco, Mkude, Kennedy na Mwenda. Ulitakiwa uweke na orodha ya wazawa unaotaka wazibe nafasi hizo, kutoka JKT, Prisons, Azam, Coastal Union, Yanga etc. Ukiishia kutaja tu kuacha ambako ni rahisi halafu ukakwepa kutafuta ambako nako ni kama betting, hujui mchezaji akija atakuwaje, huo sio uungwanaMaombi yangu yametimia
Hawa watemwe
Banda
Kapama
Akpan
Okrah
Okwa
Sawadogo
Outaraa
Nyoni
Bocco
Mkude
Kennedy
Mwenda
Wafuatao wasiongezewe Mkataba
Kapombe
Chama
Saido
Phiri
Manura
Onyango
Mzamiru
Mgunda akihojiwa kasema bado wako na nafasi kubeba kombesimba wamejimaliza wenyewe kupitia mchezo wao wa jana dhidi ya Namungo. kabla ya game ya jana Yanga alikuwa na nafasi ya asilimi 85 na simba asilimia 60 ya kuchukua ubingwa. sioni Simba ikichukua taji lolote msimu huu
Watakupiga mkuu[emoji23]Wameshachukua makombe mawili, kombe la robo fainali na kombe la kufa kiume.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣eeeh!!nao walikuwa wanagombea ubingwa“Matokeo ya jana kusema ukweli wa Mungu yametuumiza sana, yametukatisha tamaa kwa sababu Lengo lilikuwa ni kushinda ili tuweze kuleta ushindani mzuri kwenye mbio za ubingwa.
“Baada ya kupoteza jana tumezidi kujiwekea ugumu sisi wenyewe na kwa sasa mipango au ujasiri wa kusema moja kwa moja kwamba tunapigania ubingwa inaweza kuwa ni 50/50,” Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally
===
Huyu Jamaa timu Ina mlet down Kila siku[emoji23][emoji23][emoji23] atakufa presha.
Wameshachukua makombe mawili, kombe la robo fainali na kombe la kufa kiume.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mkuu.....mbna Sasa unataka timu yote itemweMaombi yangu yametimia
Hawa watemwe
Banda
Kapama
Akpan
Okrah
Okwa
Sawadogo
Outaraa
Nyoni
Bocco
Mkude
Kennedy
Mwenda
Wafuatao wasiongezewe Mkataba
Kapombe
Chama
Saido
Phiri
Manura
Onyango
Mzamiru
Pia ni hatari kuanza na Kikosi kipya ......changes lazima iwe taratibuWatu makini huwa hawaishii kutoa maoni kama hayo tu, ulitakiwa uende mbali zaidi. Mfano, kwenye hiyo orodha ya unaotaka waachwe, kuna wazawa akina Nyoni, Bocco, Mkude, Kennedy na Mwenda. Ulitakiwa uweke na orodha ya wazawa unaotaka wazibe nafasi hizo, kutoka JKT, Prisons, Azam, Coastal Union, Yanga etc. Ukiishia kutaja tu kuacha ambako ni rahisi halafu ukakwepa kutafuta ambako nako ni kama betting, hujui mchezaji akija atakuwaje, huo sio uungwana
Mshajimilikisha kombe la Azam sio ?? [emoji23]simba wamejimaliza wenyewe kupitia mchezo wao wa jana dhidi ya Namungo. kabla ya game ya jana Yanga alikuwa na nafasi ya asilimi 85 na simba asilimia 60 ya kuchukua ubingwa. sioni Simba ikichukua taji lolote msimu huu
Hilo ni jukumu la ScoutingWatu makini huwa hawaishii kutoa maoni kama hayo tu, ulitakiwa uende mbali zaidi. Mfano, kwenye hiyo orodha ya unaotaka waachwe, kuna wazawa akina Nyoni, Bocco, Mkude, Kennedy na Mwenda. Ulitakiwa uweke na orodha ya wazawa unaotaka wazibe nafasi hizo, kutoka JKT, Prisons, Azam, Coastal Union, Yanga etc. Ukiishia kutaja tu kuacha ambako ni rahisi halafu ukakwepa kutafuta ambako nako ni kama betting, hujui mchezaji akija atakuwaje, huo sio uungwana
Labda kubeba kombe la mgangaMgunda akihojiwa kasema bado wako na nafasi kubeba kombe