Ahmed Ally Atoa neno baada ya mechi na Namungo, asema wamekata tamaa

“Matokeo ya jana kusema ukweli wa Mungu yametuumiza sana, yametukatisha tamaa kwa sababu Lengo lilikuwa ni kushinda ili tuweze kuleta ushindani mzuri kwenye mbio za ubingwa.

“Baada ya kupoteza jana tumezidi kujiwekea ugumu sisi wenyewe na kwa sasa mipango au ujasiri wa kusema moja kwa moja kwamba tunapigania ubingwa inaweza kuwa ni 50/50,” Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally

===

Huyu Jamaa timu Ina mlet down Kila siku[emoji23][emoji23][emoji23] atakufa presha.

Kwa hiyo siku zote hizi alikuwa hajui kama Bingwa wa msimu huu ni Yanga, kwa mara nyingine tena! Au ni ubishi wake tu.
 
Sio mbaya tutajipanga msimu ujao, muhimu tutachukua ndoo ya Azam
 
Kwa hiyo siku zote hizi alikuwa hajui kama Bingwa wa msimu huu ni Yanga, kwa mara nyingine tena! Au ni ubishi wake tu.
Alitegemea miujiza.....ila alisahau kuwa Yanga akikaa pale juu
.
Kumshusha ni ngumu
 
Ni ngumu sana kumshusha maana sio kwa zile penati za nje ya box
Mkuu..... nadhani unaelewa kuwa timu iliyopata penalty. + Opponents kupata Red card zamchongo nyingi ni Simba
 
“Matokeo ya jana kusema ukweli wa Mungu yametuumiza sana, yametukatisha tamaa kwa sababu Lengo lilikuwa ni kushinda ili tuweze kuleta ushindani mzuri kwenye mbio za ubingwa.

“Baada ya kupoteza jana tumezidi kujiwekea ugumu sisi wenyewe na kwa sasa mipango au ujasiri wa kusema moja kwa moja kwamba tunapigania ubingwa inaweza kuwa ni 50/50,” Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally

===

Huyu Jamaa timu Ina mlet down Kila siku[emoji23][emoji23][emoji23] atakufa presha.

Huu uzi hata akina makolo, madunduka a.k.a wapenzi wa NGADA FC akina GENTAMYCINE, Kalpana, cocastic et el wasipouona, sisi tutawaonyesha tu uliko....!!!

CC Bantu Lady
 
Back
Top Bottom