Ahmed Ally azidi kuwakera Yanga abandika gari lake mabango la msimamo wa Kundi A alilotoka Yanga michuano ya CAF

Ahmed Ally azidi kuwakera Yanga abandika gari lake mabango la msimamo wa Kundi A alilotoka Yanga michuano ya CAF

Ila ingekuwa vice versa mzee mashabiki wa simba mngetukana sana mngeanza kusema msemaji ahainge na team yake aachane na timu yenu ila kwa kuwa kafamya yeye mnaona yuko sahihi
Mwosha huoshwa 😂🏃
 
Kwanini mashabiki wote wa yanga wasipigwe chapa ya moto matakoni ili popote wanapoenda tuwatambue kirahisi.
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Ubaya ubwela. Nyie mliweka bango mlipomfunga Simba 5-1. Acha wanasimba tufurahi ni wakati wetu . Wanasimba ni wakati wetu huu.
Ile ya 5:1 itakumbukwa hata mwakani ila hii mwezi wa tano tu tushasahau
 
Ukubwa wa Simba ulitengenezwa baada ya viongozi kujikita kwenye malengo makubwa. Utani wa jadi uwe wa mdomoni kidogo kisha unaacha wapambane na mzimu wao wa kukimbiza kufyeka mafanikio ya Simba wanayoyaita vichaka. Simba itangulie wao wahangaike kufikia ilipo. Wakifanikiwa walipie mabango na kunywa Supu.
 
Back
Top Bottom