kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Baada ya Moses Phil kuchezewa kuumizwa kiwanjani, Ahmed Ally msemaji wa Simba amelalamika sana, sio vema wachezaji kuumizana na siungi mkono wachezaji kuumizana viwanjani, lakini Ahmed alipaswa kuwakemea Henock, Onyango, Kanoute na Mzamiru kwa kuchezea wengine vibaya.