Ahmed Ally: Kibu Denis, Che Malone na Edwin Balua wapo Sokoni

Ahmed Ally: Kibu Denis, Che Malone na Edwin Balua wapo Sokoni

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuna uwezekano wa klabu kuwauza nyota wake watatu, Kibu Denis, Che Malone na Edwin Balua.

"Mambo yasipoenda sawasawa watarudi kuja kuitumikia mikataba yao," ameomgeza.


1753779202087.png
 
Kuna kila dalili kwa hao wengine biashara itadoda. Che Malone ndiyo alikuwa ni uhakika na uzuri Waarabu wameshamnyakua.
 
Ila huyu kocha wa simba anaua vipaji. Yule Barua ni mchezaji mzuri sana lakini amemdhoofisha. Mavambo halikadhalika. Kama vp viongozi wa Yanga wamchukue Balua
 
Kuna kila dalili kwa hao wengine biashara itadoda. Che Malone ndiyo alikuwa ni uhakika na uzuri Waarabu wameshamnyakua.
Hersi alimsifia huyo Balua na hapo nyuma aliwahi hadi kutuma genge la kumteka Kibu.
 
Che Malone SI KESHA sajiliwa arabuni au CHANZO changu ni udaku mkuu





Kwishaaaaaa
 
Sina rekodi zao
Kibu tangu atue nchini ameifunga Yanga goal 2 tu takribani miaka 7 iliyopita,huku Max akiwa na miaka 3 tu mpaka sasa nchini ameifunga Simba magoli matatu. Nani mkali,Kibu au Max?
 
Kibu tangu atue nchini ameifunga Yanga goal 2 tu takribani miaka 7 iliyopita,huku Max akiwa na miaka 3 tu mpaka sasa nchini ameifunga Simba magoli matatu. Nani mkali,Kibu au Max?
Mkali Kibu D mkandaji, kiboko ya mdaka mishale(golikipa shati) wa utopwix.
 
Back
Top Bottom