Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Che Malone alishauzwa, wataje hao wawili.Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuna uwezekano wa klabu kuwauza nyota wake watatu, Kibu Denis, Che Malone na Edwin Balua.
"Mambo yasipoenda sawasawa watarudi kuja kuitumikia mikataba yao," ameomgeza.
Msemaji hafahamu kama Kanji alishafanya biashara na mchezaji amesha tambulishwa katika klabu yake mpya.Che Malone alishauzwa, wataje hao wawili.
Mavambo kile ni kitasa ni basi tu hajapata coaching nzuri nini aache na nini aongeze.Ila huyu kocha wa simba anaua vipaji. Yule Barua ni mchezaji mzuri sana lakini amemdhoofisha. Mavambo halikadhalika. Kama vp viongozi wa Yanga wamchukue Balua
Hersi alimsifia huyo Balua na hapo nyuma aliwahi hadi kutuma genge la kumteka Kibu.Kuna kila dalili kwa hao wengine biashara itadoda. Che Malone ndiyo alikuwa ni uhakika na uzuri Waarabu wameshamnyakua.
Mavambo alikuwa na potential ya kukua zaidi kuliko AhouaMavambo kile ni kitasa ni basi tu hajapata coaching nzuri nini aache na nini aongeze.
Mnafiki sigara kaliHersi alimsifia huyo Balua na hapo nyuma aliwahi hadi kutuma genge la kumteka Kibu.
Makapuku mna shida sana.Msemaji hafahamu kama Kanji alishafanya biashara na mchezaji amesha tambulishwa katika klabu yake mpya.
kati ya Kibu na Max nani anaongoza kumfunga mwenzake?Kubu D mkandaji, kiboko ya mdaka mishale, kipenzi cha mashabiki.
Sina rekodi zaokati ya Kibu na Max nani anaongoza kumfunga mwenzake?
Kibu tangu atue nchini ameifunga Yanga goal 2 tu takribani miaka 7 iliyopita,huku Max akiwa na miaka 3 tu mpaka sasa nchini ameifunga Simba magoli matatu. Nani mkali,Kibu au Max?Sina rekodi zao
Mkali Kibu D mkandaji, kiboko ya mdaka mishale(golikipa shati) wa utopwix.Kibu tangu atue nchini ameifunga Yanga goal 2 tu takribani miaka 7 iliyopita,huku Max akiwa na miaka 3 tu mpaka sasa nchini ameifunga Simba magoli matatu. Nani mkali,Kibu au Max?