Ahmed Ally: Kuna timu kazi yake ni kugawa utamu tu kwenye kundi lake nyie chunguzeni

Ahmed Ally: Kuna timu kazi yake ni kugawa utamu tu kwenye kundi lake nyie chunguzeni

Mawe matatu

Member
Joined
Nov 30, 2025
Posts
7
Reaction score
10
Nimemnukuu msemaji wa simba ambaye uwa namuweka kwenye kundi la comedian aliwai kusema Kuna katimu kazi yake ni kugawa utamu tu kwenye kundi lake!

Maneno hayo alikuwa anailenga yanga kabla michuano ya kimataifa aijaanza sasa naona simba ndio imekuwa inagawa vizuri utamu kotekote iwe nyumbani ata ugenini!

Simba kageuka paka anachezewa ata na mtoto mdogo🤣🤣
 
Back
Top Bottom