Ahmed Ally kusema Yanga imekutana na timu dhaifu kimataifa ni kudhihirisha wazi ubongo wako umejaa makamasi mbele ya mashabiki wa mpira Tanzania

Hata azam sio bora kuizidi simba, huwezi sema ihefu bora kuliko yanga
Unataka nisemaje Sasa ???

Kama unaunga mkono hoja ya Ahmedy Ally Basi kubaliana na Mimi kuwa azamu ni Bora kuliko Simba
 
Unataka nisemaje Sasa ???

Kama unaunga mkono hoja ya Ahmedy Ally Basi kubaliana na Mimi kuwa azamu ni Bora kuliko Simba
Wapi nimesema naunga mkono hoja ya Ahmed? Mimi napinga kusema gallants au rivers ni bora kuliko simba
 
EWE MWANANCHIIIII HAKIKA LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWAMBA YANGA NI KUBWA KIASI GANI NA TUNA UKUBWA KIASI GANI KATIKA SOKA.
NAJUA KUNA WATU HAWATA PENDA HISTORIA TUNAYOENDA KUIANDIKA LEO HII.


NIKUOMBE TU KAMA HUNA USTAHMILIVU NA TIMU YA YANGA USIANGALIE MECHI YA LEO.
MECHI HII NI KWA AJILI YA WABOBEZI WA SOKA.
πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…