Hii kauli siyo Mara ya kwanza kutamka pale unapoona Yanga inakimbilia mafanikio ya kutwaa kombe.
Nakumbuka msimu uliopita ulitamka kuwa ligi yetu ni dhaifu sana Kisha ukaja kujikanyaga kanyaga mbele ya cameras kuwa hukumaanisha hivyo.
Boss wako Mo dewj amefungua moyo nakutuma salamu za pongezi kwa Yanga kutokana na mafanikio /hatua zilizopiga.
Bwana mdogo Ahmedy Ally jikite katika kushauri /kuunda mikakati namna gani timu yako ipige hatua na siyo kuropoka kwa hisia mwisho wa siku unaonekana ubongo wako umejaa kamasi (mweupe)
Sasa unadharaulika na mashabiki wa Simba huko south walioipokea Yanga kwa moyo mmoja na kuonesha uzalendo mkubwa.
View attachment 2627258