Ahmed Ally kusema Yanga imekutana na timu dhaifu kimataifa ni kudhihirisha wazi ubongo wako umejaa makamasi mbele ya mashabiki wa mpira Tanzania

Wakimataifa unatudhalilisha unakandwa nyumbani ulikuwa unakutana na vibonde
Ayo ni matokeo ya mpira lakini bado tunayo nafasi. Hakuna timu mbovu, USMA alikuwa kundi moja na marumo lakini marumo aliongoza kundi. Kwa mjibu wa stats rasmi za CAF hakuna team yoyote tuliyo i-nockout ambayo timu yenu inaizidi chochote.
 
Kuna timu ilikuwa mbovu msimu huu kama Horoya na Vipers?
Zilikua mbovu pia ila baada ya hapo simba ilipata kipimo sahihi na matokeo unayajua.Bahati nzuri kwa yanga nikwamba kipimo sahihi kimeanza kuonekana mechi ya pili kutoka mwisho.
 
Hii kauli siyo Mara ya kwanza kutamka pale unapoona Yanga inakimbilia mafanikio ya kutwaa kombe.

Nakumbuka msimu uliopita ulitamka kuwa ligi yetu ni dhaifu sana Kisha ukaja kujikanyaga kanyaga mbele ya cameras kuwa hukumaanisha hivyo.

Boss wako Mo dewj amefungua moyo nakutuma salamu za pongezi kwa Yanga kutokana na mafanikio /hatua zilizopiga.

Bwana mdogo Ahmedy Ally jikite katika kushauri /kuunda mikakati namna gani timu yako ipige hatua na siyo kuropoka kwa hisia mwisho wa siku unaonekana ubongo wako umejaa kamasi (mweupe)

Sasa unadharaulika na mashabiki wa Simba huko south walioipokea Yanga kwa moyo mmoja na kuonesha uzalendo mkubwa.View attachment 2627258
Lini Ally Kamwe aliisifia simba? Kweli simba haijawahi kupata mafanikio kwenye soka?
 
Walishawaona washabiki wao ni MBUMBUMBU.
Kuna clip moja nilimsikia akisema kuwa wakiwa wenyewe kwa wenyewe (viongozi) wanaambizana ukweli, ila wakitoka public huku ndio huponda mafanikio ya mpinzani au kuwapa moyo washabiki kwa jambo lisilowezekana.
Inamaana tabia hii hata wapinzani wao wanayo
 
Ayo ni matokeo ya mpira lakini bado tunayo nafasi. Hakuna timu mbovu, USMA alikuwa kundi moja na marumo lakini marumo aliongoza kundi. Kwa mjibu wa stats rasmi za CAF hakuna team yoyote tuliyo i-nockout ambayo timu yenu inaizidi chochote.
Hadi gallants walioshuka daraja?
 
Graduate wa madrasa ya MUM huyo rafiki yake cocastic na jirani yake katukutumeni a.k.a Popoma graduate wa SAUTI ndio maana uwezo wao ni mdogo sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu muacheni semaji letu la CAF. kasema ukweli ulio wazi.
 
Hii kauli siyo Mara ya kwanza kutamka pale unapoona Yanga inakimbilia mafanikio ya kutwaa kombe.

Nakumbuka msimu uliopita ulitamka kuwa ligi yetu ni dhaifu sana Kisha ukaja kujikanyaga kanyaga mbele ya cameras kuwa hukumaanisha hivyo.

Boss wako Mo dewj amefungua moyo nakutuma salamu za pongezi kwa Yanga kutokana na mafanikio /hatua zilizopiga.

Bwana mdogo Ahmedy Ally jikite katika kushauri /kuunda mikakati namna gani timu yako ipige hatua na siyo kuropoka kwa hisia mwisho wa siku unaonekana ubongo wako umejaa kamasi (mweupe)

Sasa unadharaulika na mashabiki wa Simba huko south walioipokea Yanga kwa moyo mmoja na kuonesha uzalendo mkubwa.View attachment 2627258
We ndo ubongo wako una makamasi Tanga kacheza na under dogs kwan ni siriiiiiii
 
Jibu swali wala hakuna tozo
Kuwa na timu yenye mchezaji mwenye magoli mengi caf maana yake hiyo timu ni bora kuliko simba? Leta top ten ya viwango vya ubora afrika kwa ngazi ya vilabu tuone
 
Wewe unachobisha hapa ni Nini???
 
Kuwa na timu yenye mchezaji mwenye magoli mengi caf maana yake hiyo timu ni bora kuliko simba? Leta top ten ya viwango vya ubora afrika kwa ngazi ya vilabu tuone
Una hamahama hoja husika.

YANGA inaenda kutoa mfungaji/mchezaji bora wa michuano ya CAF shirikisho bado huoni kama ni rekod kubwa ukizingatia hakuna team nyngne ktoka TZ imewahi fanya hivyo.

Pole sana. Unazani yale maoni ya taasis binafisi ya Uholanzi kwamba ligue yetu ya 5 na cmba ya 9 ndo kweli?
leta wewe source ya CAF uone kama hata top 100 humo?
 
Bangi haikufai wewe
 
Back
Top Bottom