Tetesi: Ahmed Ally Kutupiwa virago Simba?

Mcheza Piano

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2024
Posts
562
Reaction score
1,339
Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi.

Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi na heshima za wachezaji wao.

Benchikha aliposema hajawahi kukutana na wachezaji wenye vichwa vigumu kama wa simba alipewa wito wa kuhojiwa na kamati ya nidhamu na kabla haijafika siku ya mahojiano, yeye pamoja na wasaidizi wake waliagizwa kwenda kumuuguza mke wake.

Inadaiwa kuwa kamati ya nidhamu haipendezwi na kauli za msemaji wao kuhusu suala la uzembe wa wachezaji wao na muda wowote kuanzia sasa yatafanyika makubaliano ya pande 2 ili Ahmed Ally akauguze huko kwao.
 
Sasa Ahmed ally ana husikaje na simba kuwa cha wote maharage ya mbea? Swala mijitu mipigaji.... Waache siasa kwenye michezo... Waache kocha afanye usajili sio kumuingilia..... Kila mtu kiongozi akae kwenye nafasi yake....

Wabongo alowaloga sijui nani?
 
Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi.

Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi na heshima za wachezaji wao.

Benchikha aliposema hajawahi kukutana na wachezaji wenye vichwa vigumu kama wa simba alipewa wito wa kuhojiwa na kamati ya nidhamu na kabla haijafika siku ya mahojiano, yeye pamoja na wasaidizi wake waliagizwa kwenda kumuuguza mke wake.

Inadaiwa kuwa kamati ya nidhamu haipendezwi na kauli za msemaji wao kuhusu suala la uzembe wa wachezaji wao na muda wowote kuanzia sasa yatafanyika makubaliano ya pande 2 ili Ahmed Ally akauguze huko kwao.
Kwani huko alienda na virago huko Simba? Si aliviacha kwao au?
 
Lile genge lililopo pale Simba ni genge la wahuni, waganga njaa na wasio na kazi za kueleweka!
Baada ya kifo cha Hans Pope haya tuliyajua mapema na ndio yanaendelea!
Wanampamba mchezaji kuwa ni bonge la mchezaji na wanapanga nae 'deal' kuwa yeye atachukua kiasi fulani cha pesa ya usajili kingine wanachukua wao!
 
Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi.

Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi na heshima za wachezaji wao.

Benchikha aliposema hajawahi kukutana na wachezaji wenye vichwa vigumu kama wa simba alipewa wito wa kuhojiwa na kamati ya nidhamu na kabla haijafika siku ya mahojiano, yeye pamoja na wasaidizi wake waliagizwa kwenda kumuuguza mke wake.

Inadaiwa kuwa kamati ya nidhamu haipendezwi na kauli za msemaji wao kuhusu suala la uzembe wa wachezaji wao na muda wowote kuanzia sasa yatafanyika makubaliano ya pande 2 ili Ahmed Ally akauguze huko kwao.
Vichekesho kama ilivyo Id yako.
 
Back
Top Bottom