wewe bung'aa bung'aa tu na ukomedi wako wa kila ukihojiwa wakati mwenzako ali kamwe kuna value fulani hivi anaiongeza na credits kadhaa kuzipata kwa sasa kuwa mmoja wa wachambuzi wa michuano ya afcon kwa kualikwa na azam media / ufm
Kamwe ni Mwana habari kama Ahmedi Ally ila Kamwe Alisha kuwa mchambuzi wa soka Tena palepale Azam Tv.
Kamwe Alisha kua akiandika makala za soka, Kamwe anamiliki Leseni ya ukocha.
Ahmedi alikua mtangazaji wa habari za michezo.
Unapo mzungumzia Ally Kamwe kwenye Soka yupo hatua Moja mbele kwa Ahmed Ally.
Kitu alicho ongeza Ally akiwa Yanga ni usemaji/ Kuisemea taasisi icho nikitu jipya lakini amekifanya kwa ustadi mkubwa.
Wote wawili Wana tatizo la kuongeza chumvi kupitiliza kwenye baadhi ya matamko kitu kinacho waletea shida pale soka linapokuja na uhalisia wake kwamba linachezwa zaidi uwanjani kuliko mapambio Yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.