Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kwa nini?Power dynamoz ni hamnazo
Kazi ipoNdio maana WATU wenye AKILI HAPA Jamii Forum tulisha toa Tahadhari mno.
Tuliisha waambia Simba ukweli kuwa Wajiandae KISAIKOLOJIA.
UONGOZI UMESAJILI WACHEZAJI HOVYO HOVYO.
HUWEZI ukasajili mawinga 8 timu ikawa salama.
Dirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiandae kisaikolojia
Hellow Wana JF. Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023. Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na Mfanyakazi wa...www.jamiiforums.com
Mna mkumbuka Manara sasa.[emoji3][emoji3][emoji3] Kama mmeweza kumvumilia Robertinho sidhani kama mtashindwa kumvumilia Msemaji wenu.Semaji letu sometimes miyeyusho sana anapenda kuongea simple simple tu
Kwa venye tunacheza kila mechi itakua ngumu kwetu
Hakuna anayeweza kufanya hivyoTimu yoyote itakayokutana na simba makundi iitandike barabara na like li kipa letu la mchongo wao walenge tu golini ili hawa wasengerema akina Ahmed akili ziwakae sawa.