Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
πππππ π¬π π ππππ
"Mashabiki wanaolalamika hawana furaha waache waendelee kutokuwa na furaha. Sisi tunasonga mbele hadi nusu fainali ligi ya mabingwa Africa hivyohivyo bila furaha"
"Mashabiki walitegemea tutashinda kirahisi tu kama tulivyofuzu msimu uliopita, Power Dynamos ni timu nzuri sana, walitakiwa wacheze makundi, wangesumbua sana bora tumewatoa mapema sio kama wale waliocheza na Wakimbizi"
[emoji2399] Ahmed Ally
Meneja wa habari Simba SC
Full β [emoji1241] Simba 1 - 1 Dynamos [emoji1268]
[emoji460] Andy Boyel β 16'
[emoji460] Kondwani βΊβΊ Own goal β 69'
β 3-3 β Aggregate
Sent using Jamii Forums mobile app