Ahmed Ally ndiye mchawi namba moja Simba

Naunga mkono hoja.
 
Ahmed Ally si tatizo Simba. Jamaa ni mfano wa kuigwa kwa wanaojifunza kazi ya usemaji wa timu. Anajua haswa kuhamasisha mashabiki kujaa uwanjani.

Tatizo la Simba ni wachezaji kukosa philosophy , morali na kushindwa kucheza kwa fomesheni hivyo kupata matokeo mabovu.

benchi la ufundi Simba halina uwezo wa kimbinu kufundisha wachezaji .

Rais wa Yanga Eng Hersi kila mechi yuko uwanjani, kwa Simba ni tofauti , kiongozi wao hatumuoni uwanjani kila mechi.

Simba imeporomoka si sahihi kumuangushia jumba bovu Ahmed Ally.
 
Huyu mpumbavu nimem unfollow huko instagram nimeona ana mambo yakijinga na ni muhuni tu
 
Ni mental case hio.
 
Ahamed Ally sio mchezaji, sio kiongozi anaye husika na usajili, sio kocha...... Ahamed Ally hausiki na chochote kuhusu performance ya Simba uwanjani

Ahamed Ally ana kazi ya kuwatia moyo na kuhakikisha wanasimba wanaipenda na kui sapoti timu yao no matter what
 
Sio kama kachanganyikiwa ila kachanganyikiwa kabisa yule.
 
Mangungu mnamtishia kumtoa meno unataka aje kufanya nini kwani yeye hajipendi?
 
Huyo jamaa mwanzoni alikuwa yupo vozuri sana lakini siku hizi sijui kakumbwa na kitu gani. Jamaa kawa kituko sana. Mwambieni aangalie clip zake za mwanzo wakati anaanza kazi Simba na hata akiwa anafanya kazi Azam halafu alinganishe na hizi za hivi karibuni halafu ajirekebishe. Na kikubwa ajue mipaka ya kazi yake. Vinginevyo huko anakoelekea atakuwa kituko zaidi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Umeona clip yake ya jana alivyoulizwa kuhusu kupambania nafasi ya pili?
Kwa sauti yake ile kama ya kubana pua,,Anasema simba haipambanii nafasi ya pili bali inairukia, sasa akisema inairukia, jamaa anaruka kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…