Ahmed Ally si tatizo Simba. Jamaa ni mfano wa kuigwa kwa wanaojifunza kazi ya usemaji wa timu. Anajua haswa kuhamasisha mashabiki kujaa uwanjani.
Tatizo la Simba ni wachezaji kukosa philosophy , morali na kushindwa kucheza kwa fomesheni hivyo kupata matokeo mabovu.
benchi la ufundi Simba halina uwezo wa kimbinu kufundisha wachezaji .
Rais wa Yanga Eng Hersi kila mechi yuko uwanjani, kwa Simba ni tofauti , kiongozi wao hatumuoni uwanjani kila mechi.
Simba imeporomoka si sahihi kumuangushia jumba bovu Ahmed Ally.